Guys me sielewi kabisa hii statement
Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment
Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue
Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china...
Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas .
Huku majaaliwa ya...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka...
SIMULIZI YA RAIS PAUL KAGAME: MKIMBIZI ALIYEONJA JOTO YA JIWE NA KUWA RAIS WA RWANDA ( SEHEMU YA 1)
Na,
BRIGHT KAROLI.
Ijapokuwa ni mmoja kati ya mwanajumuiya ya Watusi, ameonekana kuunganisha...
Mzuka wanajamvi!
Kagame kapeleka majeshi yake Central African Republic haraka haraka kwa kisingizio cha kuleta amani na kusaidia serikali ya sasa isipinduliwe na waasi kuelekea uchaguzi mkuu...
Nimechagua kua upande wa kagame kwa kua na sifa zote za kiongozi bora anazo loyal kwa watu wake wa Rwanda anaiweka rwanda kwanza na watu wake hutu and tuts na sio maslahi binafsi
Intelligence, ni...
Kundi la wazungu 288, waliokuwa wakioigana vita na M23 upande wa DRC, leo wametolewa kwenye kambi ya MONUSCO huko Goma, kuelekea mpakani mwa Rwanda na DRC. Wakisindikizwa na jeshi la M23, kundi...
CHIMBUKO KUU LA VITA NA MAPIGANO NCHINI CONGO DRC.
Ni muhimu sana kuelewa historia kujua kwanini hadi sasa kuna vita hizi na mapigano haya. Ndani ya nchi ya Congo DRC kuna makabila mengi ikiwa ni...
🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma:
"Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa...
Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu.
Tanzania kwa sasa tupo...
Amani iwe kwenu wadau
Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23
Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23
Kibabe sana
Tuendelee...
Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake.
Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na...
Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi.
Huyu mzee...
Amani kwenu wakuu
Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na...
Nahisi mgogoro wa congo ni zaidi ya tunavyoelezwa,ila hakuna anaetaka kusema ukweli.
1) Dhana ya wizi wa madini,
Mnashangaa sana Kwa Nini wanunuzi wakubwa wa madini na rasilimali za congo kwa...
Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi...
Ilikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter.
Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo
Trump akasema...