International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri...
26 Reactions
101 Replies
5K Views
Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yachochea uchumi wa dunia Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ni sikukuu kubwa zaidi ya Wachina, na inaweza kuchukuliwa kama kipimo cha uchumi wa China...
2 Reactions
0 Replies
470 Views
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kuongeza ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China kwa asilimia 10, kutokana na suala la Fentanyl. China siku zote ni moja ya nchi zinazotekeleza...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Tetemeko kubwa la ardhi limerekodiwa kati ya visiwa vya Ugiriki vya Amorgos na Santorini, baada ya siku za mitetemeko mfululizo katika eneo hilo. Zaidi ya watu 11,000 tayari wameondoka Santorini...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Inaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa. Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya...
30 Reactions
201 Replies
13K Views
Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza. Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais...
13 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika zoezi linaloendelea huko mjini Goma, la kusafisha mji, shirika la msaraba mwekundu, limesema mpaka sasa zoezi la kuzika maiti zilizozagaa mjini linaendelea, na kwamba idadi ya waliokwisha...
2 Reactions
7 Replies
869 Views
Wakati nchi ya Malawi ikiamua kuondoa majeshi yake nchini Congo, kwa mission ya SAMIRDC, ya nchi a SADC; Na baada ya tangazo la M23, la kusitisha mapigano, mpaka sasa, mji wa Nyamibwe, tayari...
1 Reactions
0 Replies
532 Views
Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi...
1 Reactions
0 Replies
404 Views
Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao. Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi...
66 Reactions
122 Replies
11K Views
Kwa nini Marekani inaendelea kuwa na vituo vya kijeshi katika nchi za bara la Africa? Hivi vituo vya jeshi la Marekani vilivyoko Africa nchi za Kenya, Djibouti, Ghana, Cameroon, Senegal...
2 Reactions
14 Replies
900 Views
China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani. Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha. Katika taarifa...
24 Reactions
63 Replies
5K Views
Niweke wazi kwamba sina jibu kamili la mada tajwa. Lakini ninachokielewa ni kwamba Marekani ni taifa kubwa ambalo Rais yoyote anayeingia madarakani hawezi kwenda kinyume na vision yao. Hata hivyo...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na...
5 Reactions
370 Replies
18K Views
Trump kuna sehemu anakosea. Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Je, ni kitu gani kinampa ujasiri wa kuwadharau Marais wa nchi zingine? Inafahamika uwezo wa kijeshi hana lakini ana mbwembwe nyingi na kamdomo kwa wingi. Je, si wakati muafaka kumpa kipigo cha...
14 Reactions
152 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…