Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa...
Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka.
Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna...
https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ
Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
Kutokana na vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC,tarehe 26 na 27 January 2025, watu 5 nchini Rwanda walipoteza maisha kutokana na risasi na makombola yaliyotua nchini Rwanda, mjini Rubavu...
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea...
▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD
▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD
▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion
▪️Labour...
Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft.
The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was...
Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza...
Wadau hamjamboni nyote?
Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea
Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
The head of M23 Rebels in Goma City, General...
Wapiga kura wanachagua viongozi wa majimbo mawili yaliyojitenga na Ukraine ya Lugansk na Donetsk katika uchaguzi unaoungwa mkono na Urusi na kupingwa na nchi za Magharibi.
Waasi waliojitenga...
Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters.
Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kusitisha ufadhili wa Marekani kwa Afrika Kusini, akidai kuwa "tabaka fulani za watu" nchini humo wanatendewa vibaya sana.
Katika chapisho lake kwenye...
Philanthropist unleashes outspoken attacks on populist leaders such as Trump and Xi:
January 24, 2020 by Andrew Jack
George Soros, the financier and philanthropist, has pledged $1bn to support a...
November 30th 2022
There should be no more doubts that the West’s globalist elites want the world’s democracies to go away and their billions of people to be governed by tyrannical regimes such...
Sometimes ago,I said America will become a third world country in no time.I was mocked and given names.For many of us who have never been to the US,we tend to believe that everything iin America...
Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia...
Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena...
Trump kupitia ukurasa wake wa X aliikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa sera yake ya unyakuzi wa ardhi.
Babu kwenye tweet yake alisema Marekani itasimama kuchukua hatua na kusimamisha misaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.