International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi mkuu wa makundi ya waasi mashariki mwa Kongo Corneille Nangaa, Nangaa ni mfano wa viongozi wengi wa dunia ya tatu. Nangaa sababu ya yeye kuingia kwenye uasi anasema ni kwamba alipokuwa...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani mmeongea sana na wengi mmemtukana yule mzee mkisema watu wanaenda kufa ila kuna kitu mmekisahau hasa kauli ya Trump sababu ya kujitoa ilikuwa ni moja tu CHINA CHINA CHINA yaani Trump...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya kundi la waasi wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) kuuteka mji wa Goma, na waliokuwa wamekimbia vita kurejea majumbani kwao, leo tarehe 1 Februari 2025, kuanzia saa kumi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa. Hii ni kutoka X (Twitter) I held two conversations this week with President...
12 Reactions
322 Replies
20K Views
1. Zote ni vinchi vidogo kieneo. 2. Watu wake wanajiona ni "special/superior" kuliko wengine. 3. Viongozi wao wote hawataki kutoka madarakani, madikteta uchwara. 4. Wote wana wazo la kujitanua...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
The Democratic Republic of Congo (DRC) continues to grapple with a complex and escalating conflict, particularly in its eastern regions. Here's an analysis of the latest developments over the last...
3 Reactions
3 Replies
904 Views
Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo. Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo...
21 Reactions
73 Replies
6K Views
Hotuba hii ambavyo iko live sasa haijulikani ni ya lini hasa lakini ni ya hivi karibuni. Akiongea na Waandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa. For protection of our small Nation I do not need...
5 Reactions
105 Replies
5K Views
Mabeberu US na wenzake hakuna taifa ambalo litafanya mipango au miakakati isijue. Wataiuzia taarifa hizo. Mabeberu wana silaha ambazo wakiipa nchi ndogo saizi ya hekari moja, Silaha moja tu...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
The Democratic Republic of Congo’s foreign minister Therese Kayikwamba Wagner has urged soccer clubs Arsenal, Bayern Munich and Paris St Germain to end their "blood-stained" sponsorship agreements...
0 Reactions
4 Replies
600 Views
Zaidi ya watu kumi na wanne waliuawa baada ya ndege ya mikoa ya American Airlines yenye abiria 64 kugongana na helikopta ya kijeshi ya Black Hawk dakika chache kabla ya ndege hiyo kutua kwenye...
0 Reactions
6 Replies
914 Views
December 2023 Idf ilitangaza kumuua kwenye shambulizi kamanda wa Hamas Haitham Al hawajri Siku ya jana kwenye makabidhiano ya mateka kamanda Haitham alionekana akimu-escort Keith siege na...
1 Reactions
1 Replies
412 Views
Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi...
9 Reactions
332 Replies
30K Views
Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
Guys me sielewi kabisa hii statement Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china...
0 Reactions
15 Replies
861 Views
Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas . Huku majaaliwa ya...
13 Reactions
99 Replies
5K Views
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka...
0 Reactions
4 Replies
695 Views
Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
4 Reactions
89 Replies
4K Views
Sijajua vimetumika vigezo gani. Lakini nadhani TZ ilipaswa iwe ya kwanza au angalau kwenye 3 bora.
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom