International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

The European Union member countries which includes France, Germany, Italy, expressed their shared commitment to multilateralism, the rule of law, non-racialism, and non-sexism in South Africa...
4 Reactions
4 Replies
893 Views
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani. Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:- 1. Wake wa Zamani Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti...
9 Reactions
100 Replies
6K Views
Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
12 February 2025 Arusha, Tanzania DR CONGO YAFUNGUA KESI MAHAKAMA YA AFRIKA, RWANDA YAWEKA PINGAMIZI MAHAKAMA HAINA MAMLAKA DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR...
1 Reactions
13 Replies
867 Views
Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limesema limepata ushahidi mpya kuhusu mauaji ya aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Donald Trump. FBI...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu. Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza...
11 Reactions
114 Replies
5K Views
https://youtube.com/shorts/bgbL681E5h0?si=UBrNfiyTohWgc5hx 😂😂 Ila watu, aisee
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Mikono yetu ipo kwenye trigger na tupo tayari kwa mapambano kama Israel atasitisha makubaliano na kuamua kushambulia gaza-HOUTHI HOUTHI wametoa msimamo huo mara baada ya Hamas kudai hawatoachia...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸🇮🇱JUST IN: Journalist Lior Kordner said in a podcast for Haaretz newspaper: Trump intervened forcefully to end the war, and all the right-wing supporters were living in a dream...
7 Reactions
100 Replies
3K Views
Umoja wa Ulaya (EU) unatarajia kufanya mapitio ya mpango wake wa misaada ya kigeni ili kuendana na maslahi yake ya kisiasa huku ikikabiliwa na changamoto za bajeti, ongezeko la gharama za ulinzi...
9 Reactions
108 Replies
5K Views
Wakati hapa Tanzania hadi Watoto wa Viongozi wametengenezwa kuwa Machawa wenzetu huko mbele mambo ni tofauti Kabisa Chukulia mfano mdogo tu wa mtoto wa Elon Musk aitwaye X na CHAWA Mkuu wa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Meja Evariste Ndayizeye kutoka jeshi la Burundi, anaesadikika kuwa miongoni mwa wapiganaji mahili, ameuliwa na M23 huko Kivu kusini. Ni katika mapambano ya M23 kuhakikisha inaudunga uwanja wa...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali...
21 Reactions
229 Replies
9K Views
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi...
11 Reactions
264 Replies
18K Views
Kupitia akaunti yake ya Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump siku ya leo amesema kuwa amempigia simu Rais wa Urusi Vladimir Putin. Trump amesema kuwa simu yake na Putin imedumu zaidi ya saa...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Wabunge wa Republican wamsihi Trump kuzingatia maamuzi ya mahakama za shirikisho Na Alexander Bolton | 12 Februari 2025 | Wabunge wa Senati kutoka chama cha Republican (GOP) wanamhimiza Rais...
1 Reactions
6 Replies
664 Views
Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka, Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo, Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe...
4 Reactions
19 Replies
852 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…