International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Lambert MENDE, aliwahi kusema haya: https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920 Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya...
1 Reactions
7 Replies
849 Views
Watu 15 akiwemo Mtoto, wamejeruhiwa huku baadhi yao wakiwaishwa Hospitali kutokana na majeraha waliyoyapata baada ya Ndege ya Delta ya Nchini Marekani kupata ajali leo kwa kubinuka juu chini...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas. Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Muda mfupi baada ya kuwepo kwa taarfa kuwa Bashar Al Assad amekimbia nchi na kwenda kusikojulikana, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tamko Trump amesema kuwa moja ya sabu ya...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa mara ya kwanza tangu ipate uhuru Senegal imeanza kusafisha mafuta ghafi ambayo yanazalishwa ndani ya nchi, ikifungua mlango mpya katika sekta ya nishati. Kampuni ya African Refinery...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama. Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
10 Reactions
83 Replies
3K Views
Haya Yangu macho Mwamba ametangaza hataki kusikia tena mateka 3-4-8 Anataka mateka wote saa kumi na mbili jioni wawe Tel Aviv Else hataki kusikia Majadiliano yakiendelea Na hamas WAKUBALIANE...
1 Reactions
3 Replies
251 Views
Marekani inawauliza Ulaya kile wanachohitaji kwa dhamana ya usalama ya Ukraine. Kinachoonekana ni kwamba tofauti na wengi tulivyokuwa tunafikiria kwamba Trump ataisalimisha Ukraine kirahisi kwa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza...
15 Reactions
95 Replies
5K Views
Meli za Kivita za Jeshi la Wanamaji za Marekani na Russia wafanya mazoezi Pamoja; Uchina, Mataifa ya QUAD Pia Yajiunga na Komodo 2025. Kwa upande wa matukio ambayo yanapinga mivutano na ushindani...
1 Reactions
0 Replies
607 Views
https://x.com/dr_dash250/status/1891461698176811367 Mwa huu una mapya. M23 ikiwa Bukavu,imewaomba wakazi wa maeneo hayo kuhakikisha waliojihusisha na wizi wa mali za watu,wanarudisha kwa usalama...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
JUST WATCH THIS! ... they find themselves in a situation where it's no longer the question of 'left or right' but feel like they could be spiraling into FASCISM AND AUTOCRACY through their...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Jamani, vita vya DRC ni kama comedi. Hakika ndo maana watu wengi wameamua kukaa pembeni. Huu ni ujumbe kwa rais wa DRC na wasaidizi wake. Haya hapa mapokezi ya M23 mpakani Kamanyola...
4 Reactions
11 Replies
864 Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC). Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud...
4 Reactions
159 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa...
2 Reactions
2 Replies
404 Views
Kwanza ningekuwa Rais wa nchi ningewachoma LGBT wote kwa moto wa Petroli ili kukomesha kabisaa hizo tabia za kumchukiza Mwenyezi Mungu. Katika hali isiyo ya kawaida hata wale wanaojinasibu...
7 Reactions
129 Replies
10K Views
Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama...
2 Reactions
11 Replies
758 Views
Dalili zote ni kwamba,huyu jamaa atakimbia nchi maana hana jeshi,ha hata sijui anafanya nini hivi sasa
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Hivi karibuni kijana mmoja Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliuawa na kijana mzungu kwenye treni ya chini ya ardhi mjini New York, Marekani, lakini mhusika wa mauaji hayo aliachiliwa huru baada...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniàni siku za hivi karibuni amekuwa akifanya kazi pamoja na Rais Trump. Ukaribu wao unawatia watu wasiwasi hivyi kwamba baadhi ya wataalamu wanadai Serikali ya...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…