International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Imekaaje hii? Askari huko Burudndi kunywa bia aiwa na magwanda na polisi na watu wa kawiada
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia, jina moja limeibuka na kutikisa ulimwengu wa Akili Bandia (AI) kwa namna isiyo ya kawaida – Lean Feng Wang. Mwanakijiji huyu kutoka M Ling, jimbo la...
12 Reactions
73 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mabasi matatu yalilipuka katika mji wa Bat Yam, kusini mwa Tel Aviv, katika tukio linaloshukiwa kuwa la kigaidi. Polisi wa Israeli waliofika katika tukio hilo wameeleza...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika. Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi; 1. Hii misaada tumeanza...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Many foreign students in Japan seek jobs but face language barriers, lack of support February 25, 2025 (Mainichi Japan) Attendees listen to a company's recruiter at a job fair for foreign...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanafunzi wa Bangladesh ambao waliongoza maandamano yaliyomwondoa Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina mwaka jana wanatarajia kuzindua chama kipya cha siasa wiki hii. Kundi hilo, linalojulikana...
1 Reactions
11 Replies
541 Views
Wadau hamjamboni nyote? Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas...
1 Reactions
14 Replies
944 Views
===== Umoja wa Ulaya (EU) utapitia upya makubaliano yake ya hivi karibuni kuhusu malighafi muhimu na Rwanda kufuatia mgogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amesema...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Trump Orders Shut Down of Key NATO Base in Greece Hal Turner World February 25 Reports are coming in claiming President Donald Trump has ordered the shutdown of a large U.S. Military Base in...
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani; Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23, Rais...
10 Reactions
110 Replies
6K Views
Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika...
3 Reactions
10 Replies
622 Views
Watu wengi sana leo waliamini Ayatollah Sayyed Ali Khamanei atahudhuria mazishi ya rafiki yake kipenzi Gaidi Hassan Nasrallah lakini kachomoa dakika za mwishoni na kutumia wawakili ambao ni 1...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila amesema kuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi umechangia pakubwa kuzidisha mzozo mashariki mwa nchi hiyo...
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi...
3 Reactions
10 Replies
731 Views
Amani iwe kwenu wakuu Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Nani adui namba moja wa Kongo? Ni mkongomani mwenyewe. Nilivyofanya uchunguzi, nimegundua kuwa Kongo ina adui mwingine mkubwa zaidi ya M23 – ni Kabila la Wakasai. Hawa ndio chanzo cha ugonjwa wa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Karina Ariev alinusurika kuzimu. Alitekwa nyara na Magaidi wa Hamas mnamo Oct 07,2023 alipigwa, kakabwa shingini na kuburutwa hadi Gaza. Sasa, anafichua jambo lenye kuudhi hata zaidi—mmoja wa...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Umati wa maofisa wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekacha na kujiunga na kundi la waasi la M23, huku wakijisajili kwa ajili ya kupatiwa mafunzo ya kijeshi na waasi hao...
3 Reactions
17 Replies
874 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…