International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mapigano kati ya wachimba madini wadogo, yaliyodumu ndani ya juma moja kaskazini mwa Chad yamesababisha takriban watu 100 kupoteza maisha na 40 kujeruhiwa, na kupelekea machimbo hayo kufungwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Afrika imeripotiwa kuwa na Maambukizi 1,597 ya Virusi vya MonkeyPox tangu kuanza kwa mwaka 2022, ikielezwa Watu 66 wamefariki dunia Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo Afisa huyo amesema kuwa idadi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana. Katika...
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Miili 20 imeopolewa na na takriban watu 30 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 100 wa ukoo mmoja kupinduka kwenye mto katikati mwa Pakistan. Boti hiyo iliyojaa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakimbizi 17 wa Haiti wamefariki Dunia baada ya mashua waliyokuwa wakiitumia kuzama kwenye maji huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo. Walikuwa njiani kuelekea Miami Nchini Marekani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo Mamlaka zimesema kuwa moto...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai, China. Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha maporomoko ya ardhi ambayo...
0 Reactions
1 Replies
633 Views
Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo...
1 Reactions
4 Replies
903 Views
Watu 31 wameripotiwa kufariki na wengine 7 kujeruhiwa wakati wa mkanyagano wa kugawa chakula kanisani Nchini Nigeria, ambapo shuhuda mmoja wa tukio alishuhudia mama mjamzito na watoto kadhaa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya Waisraeli kupora na kuwafukuza Wapalestina kutoka kwenye makao yao wengi walikimbilia nchi ya Jordan. Jordan ni nchi ya wakazi wachache hivyo wakimbizi wakawa sehemu kubwa ya wakazi...
1 Reactions
4 Replies
380 Views
Biden amewashitakia raia wake akilalamika kuwa uchumi wa 'Super Power' (Marekani) unakontroliwa na Urusi, China na waarabu wa mafuta (Saudi Arabia)... Ngoja tuwasubiri wamarekani wa Ugweno waje...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe...
26 Reactions
59 Replies
3K Views
Zelenskyy ni Secret Agent wa USSR aliyeiva Katika mazungumzo Zelenskyy alionekana kuwa ni mtu wa kujiamini sana. Maelezo yake aliyokuwa anayatoa ni very direct. Yeye alichokuwa anadai kwa Marekani...
1 Reactions
7 Replies
871 Views
Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza imetangaza kuipa mkopo nchi ya Ukraine wa kiasi cha Paundi bilioni 2.6 kwa ajili ya kununua silaha za kijeshi ili izidi kujiimarisha na kujilinda dhidi ya Urusi. Makubaliano...
4 Reactions
12 Replies
858 Views
Alisema anajua. Anatafutwa na Marekani na siku yoyote atauliwa BAADA ya kifo sikuwahi sikia HATA nchi ya afrika uliohuzunika na kusema polen WA Libya Mwamba huyu NDIE PEKEE aliapa kama Marekani...
0 Reactions
5 Replies
559 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…