International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maandamano ya Kumpinga Trump yanazii kushika Kasi kote Duniani hasa USA na Ulaya akishutumiwa Kwa kuvuruga Uchumi na mahusiano ya Kimataifa. Wakati hayo yakiendelea Wananchi wa Marekani...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Kamanda mkuu wa Hamas Hamada Abu Daqa, ambaye alihusika katika utekaji nyara wa askari wa IDF wakati wa shambulio la Oktoba 7, aliantami zwÄ… katika shambulio la anga la IDF huko Bani Suheila...
10 Reactions
67 Replies
3K Views
Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu...
5 Reactions
18 Replies
986 Views
Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki. Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa sababu sisi ni binadamu haikupaswa kutokea kitu kama hiki kinachotokea na kuvutia watu kukiona kwenye mbuga za wanyama kama vile serengeti na nyengine kadhaa nchini Tanzania na kwengineko...
6 Reactions
76 Replies
3K Views
Urusi inasema kwamba haitasambaza tena gesi kwa Poland na Bulgaria kwa sababu nchi zote mbili zilikataa kulipa kwa sarafu yake ya Rouble. Umoja wa Ulaya umesema kuwa hatua hii ya Urusi ni sawa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Members Ritz na Webabu walituaminisha kuwa baada ya kile kipigo kule ndani Iran walikuwa wanajipanga kuja lipiza. Ni miezi mingi imepita wamejinyamazia tu. Toka wadhalilishwe na wanawake wa...
12 Reactions
80 Replies
3K Views
List of items US imported from Russia 🇷🇺💪
3 Reactions
5 Replies
598 Views
Wamarekani wameanza kutoa mlio baada Jeshi lao kutumia Dola billion 1 kushambulia mawe jangwani huko Yemen na kusema hasara tupu hamna lengo lolote lililofikiwa NEW: 🇺🇸🇾🇪 The U.S. has spent over...
2 Reactions
5 Replies
501 Views
Kamanda wa kitengo cha upelelezi cha Golani cha Israeli anazungumza na askari wake wakati wanaunga Rafah!!! "Kila mtu unayekutana naye ni adui. Ukiona sura, muwashe moto, mwangamize, na usonge...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Sayari ya Mars imekuwa ikiwashangaza, kuwasisimua na kuwavutia binadamu kwa miaka mingi. Maelfu ya miaka iliyopita, binadamu walikuwa wakishangaa na kujiuliza nini kinapatikana katika sayari hiyo...
12 Reactions
64 Replies
9K Views
Ni muendelezo wa Trump na kuwakalia kooni wachina toka awamu yake ya kwanza mpaka sasa kawaweka mdomoni kweli. Trump anasema anachofanya sasa ni mapinduzi ya kiuchumi na hakika lazima washinde...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Makundi yenye silaha yameripotiwa kuua watu zaidi ya 100 katika mfululizo wa mashambulizi yaliyolenga miji ya katikati mwa Nigeria eneo lenye mivutano ya Kidini na Kikabila. Uongozi wa Serikali...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda. Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba...
2 Reactions
17 Replies
857 Views
Mazishi makubwa ya wanajeshi wasiopungua 11 wa Jolani huko Syria Jana usiku walijaribu kuwavizia askari wa Israel IDF walipokuwa wakifanya kazi huko Daraa, wakashindwa kabisa.Matokeo yake wao...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Marekani na Kanada waungana na India, Saudi Arabia, Cuba, Misri, Kenya, Pakistan, na Oman huku Brazil ikisitisha safari za bila visa – Hatua mpya za kukuza utalii na usalama: Mambo mapya...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Defense Minister Israel Katz revealed for the first time documents found in Hamas tunnels, proving a direct connection between Yahya Sinwar and Muhammad Deif and the commander of the Iranian Quds...
0 Reactions
4 Replies
437 Views
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu. Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…