📅 Kabla ya Aprili 2, 2025
Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 %
📅 Aprili 2, 2025
Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34%...
Hivi fikiria kama nilifanya kazi ya ujenzi wa Mahakama ya mkoa(Njombe). Uliokuwa ukifanywa na kampuni ya (Shandong hi speed dejian). Siku moja bosi mkubwa wa kampuni alitembelea mradi na kuna ishu...
Wadau hamjamboni nyote?
Iran imehamisha makombora mapya ya masafa marefu kwa makundi ya wawakilishi nchini Iraq katika wiki iliyopita, na kukaidi matumaini kwamba wanamgambo wanaoipinga Marekani...
China Deepens Ties with Africa: What It Means for the Continent’s Economic Future
In a bold move underscoring its commitment to strengthening economic ties, China granted 33 African countries...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Advertisement
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday,
April 9, 2025
IDF set to approve slew...
Majeshi ya Israel yamefanikiwa kumuua gaidi Mohamed Mansour aliyekuwa akit uhu iwa kuamru kushambuliwa kwa makazi ya wayahudi huko Kaskazini mwa Israel juzi aliingia kwenye 18 za majeshi ya Israel...
Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema
“ Imekuwa kila usiku...
Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya...
In the quiet village of Katunguru in Sengerema - Mwanza city, a dedicated Community Healthcare Worker (CHW) named Flora stepped in to safeguard the life of a pregnant woman who was hesitant to...
Majeshi shupavu ya israel yameushikilia kikamilifu baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka maeneo hayo na Majeshi ya Israel.
Majeshi hayo ya duka ATA mji huo bila upinzani wowote. Wengi...
Marekani imepeleka mtambo wa pili wa mfumo wa ulinzi wa anga wa THAAD kwa Israeli huku kukiwa na mvutano unaoongezeka juu ya mpango wa nyuklia wa Iran, kulingana na Saudi Al-Hadath. Mfumo huo...
Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.
Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue...
Viboko katika Mbuga ya Taifa ya Virunga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. / Getty Images
Viboko wasiopungua 50 na wanyama wengine wakubwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Virunga iliyoko katika...
Serikali ya Trump imepiga marufuku mahusiano ya mapenzi kati ya wafanyakazi wake walio China na Wachina nchini humo.
Wachina wanamtisha sana mwendawazimu wannabe dictator Trump.
Meet Ange Kagame the giant Daughter of Africa's Tallest President Paul Kagame of Rwanda
Ange Kagame was born in Brussels, Belgium on the 8th of September, 1993 as the second child and only...
Shambulio la anga la Marekani nchini Yemen laua makamanda wakuu wa Houthi na wataalam wa Iran.
Shambulio la anga la Marekani limewaua watu 70, wakiwemo makamanda wakuu wa kikundi cha kigaidi cha...
Tofauti na utamaduni wa marais wa Marekani ambao huwa hawafanyi parade za kijeshi wakati wa amani Trump anapanga parade kubwa la kijeshi linaloangukia siku ya birthday yake kuonyesha ukuu wa jeshi...
Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani - Reuters.
Vikundi vya wanamgambo nchini Iraq vimejiandaa kusalimisha silaha...