Trump hikes China tariffs to 30% and then 84%
China reciprocates
Trump hikes tariffs to 145%
China reciprocates
Trump announces that he wants Xi to call him
China does nothing
Trump announces he...
Naona wapigania haki feki wamejipata kwa mara nyingine tena, wataishia kununua milipuko kutoka urusi na iran alafu wana gaza waendelee kuwa masikini then kesho mje na nyuzi za kusema Israel...
Tim Cook aeleza kwa nini Apple hutengeneza iPhones nchini China. Sio kwa sababu ya gharama ya chini ya wafanyikazi. Tazama.
Wakati huu, video ya 2024 ya Mkurugenzi Mtendaji wa Apple Tim Cook...
Marekani imeshikwa pabaya. Kwa sasa ukitaka simu ya Iphone ndani ya Marekani utainunua kwa Dola ya kimarekani isyopungua 3500 tofauti na Dola 1700 mpaka 1800 hapo mwanzo.
Hii ni kwa sababu china...
Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
Isabel...
Bei za mafuta zilipanda Jumatano, zikirejea kutoka viwango vya chini vya miaka minne vilivyoshuhudiwa mapema katika kipindi hicho, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa atazidisha...
Helikopta ya watalii iliyokuwa imebeba familia kutoka Hispania ilianguka katika Mto Hudson jijini New York, na kuua watu sita wakiwemo watoto watatu.
Kwa mujibu wa maafisa waliotoa taarifa kwa...
Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye...
Usiku huu huko Yemen Houth wanapata kipigo cha mbwa-koko kutoka kwa mashambulizi ya ndege za kijeshi za Marekani hivyo tuwaombee tu ujinga uwalone wa kuingilia ugomvi usiowahusu huko Gaza.
Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi...
Wizara ya mambo ya ndani ya Marekani imeiamrisha taasisi ya mafao ya nchi hiyo kuorodhesha majina karibu 6000 ya wahamiaji kama wafu ili wasiweze kumudu maisha nchini humo na hatimae kujiondokea...
Haya siyo maneno yangu Bali ya kitabu cha Allah .kwa mujibu wa muislamu niliyekua naongea nae Leo maeneo ya posta ya zamani ananiambia waislamu wa Yemen ni tofauti na nchi zingine katika misimamo...
Jumla ya madaktari 200 wa kijeshi wameaini waraka unaotaka jeshi la Israel lisitishe vita Gaza ili kuokoa maisha ya mateka hata ikiwa kufanya hivyo itakuwa ni lazima kufanya mapatano na Hamas...
Kabla vita kuanza mwaka juzi Gaza ilikuwa ndio eneo pekee duniani lililokaliwa na watu wengi zaidi kwa kilomita mraba kuliko eneo lolote duniani.
Baada ya karibu miaka miwili sasa Israel...
Wakuu
Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka...
Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China.
Hata hivyo Wamarekani wengi...
Baada ya kuona China ameamua kutokupepesa macho,
Sasa ameamua kufuta tozo zote za Simu, na Vifaa vyote vya electronic kutoka China.
Kama amefuta hizi tozo, nini maana yakujifanya anaweka tozo...
Maadhimisho haya ktk miaka yetu hufanywa na wayahudi na hata wakiristo, ambapo wakiristo mbali na Pasaka huadhimisha pia UFUFUO wa YESU Kiristo
Chimbuko lake ni Ukombozi wa Wana wa Israel kutoka...