Brice Oligui Nguema, ambaye ameongoza mapinduzi nchini Gabon mnamo Agosti 2023, Ameshinda uchaguzi wa rais wa Jumamosi kwa 90.35% ya kura zilizopigwa,
Matokeo hayo yanaimarisha nguvu ya Nguema...
Siku ya Jana mwanamfalme wa Saudi Arabia alitua nchini Iran na kuonana moja kwa moja na Ayatollah ali Khamenei ambaye ni kiongozi muadhama wa mapinduzi ya Iran
Sio hayo tu, ameitangaza Iran kama...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Nimeona nije hapa niweke mambo sawa
Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana
Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi...
Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza...
Wakuu,
Vladimir Putin alikutana na Sasha Troufanov, mateka wa Kirusi-Mwizraeli aliyeachiliwa baada ya kushikiliwa kwa karibu siku 500 huko Gaza, na kumhimiza amshukuru mtekaji wake wa Hamas kwa...
Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe...
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni...
Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa
Jana...
Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC.
South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa...
1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi
2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban...
Mamia ya makamanda wa Hezbollah walikimbia Lebanon kuelekea Amerika Kusini
Ripoti za Saudia zinaonyesha kuwa Hezbollah imewaagiza makamanda wake wa uwanjani kuondoka nchini Lebanon kwa hofu...
Mamia kadhaa zaidi ya watu wa Gaza wamehamia ughaibuni kimya kimya wengi wao wameenda Indonesia 🇮🇩
Israel inafanya kila iwezalo kuwezesha maono ya Rais Trump kuhusu Gaza kuna wajinga wengine...
Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya...
Hili ni anguko la kwanza la Hezbollah baada ya Serikali za mitaa huko Beirut kuamua kusiwepo kabisa bendera zilizotundikwa Katika jiji, Hatua ya pili Wanatakiwa wasalimishe silaha zao kwa jeshi la...
Ni wazi vita ya Russia na Ukraine ni vita ya Russia na marekani na ndo maana marekani anatoa misaada sana Ukraine nadhani ndo taifa la kwanza linaloongoza kupewa pesa nyingi ikifuatiwa na Israeli...
Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo...
245% U.S. TARIFFS ON CHINA
This is not policy...this is punishment.
Here’s the raw truth:
1. Death Blow to Chinese Exporters:
A 245% tariff means most Chinese products become unsellable in the...