Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika.
Tangu kuanza kwa muhula wa pili wa rais Trump, mashirika kadhaa...
Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa.
Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu...
Kinachoendelea pale Gaza ni kama walimwengu wameamua waiache Israel ishinde vita vyake vya kuwamaliza Hamas na kuitawala Palestina.
Kundi jengine la walimwengu ni kama wale wapenzi wa filamu za...
Majeshi ya Marekani bado yanaendeleza kipondo kwa Wahouth huko Yemen baada ya wao kununua ugomvi usiowahusu.
Majeshi ya Marekani usiku huu yameshusha kipondo cha kufa mtu kwa magaidi hao na...
Vatican wamethibitisha kuwa Papa Francis amefariki dunia Jumatatu asubuhi kutokana na kiharusi kilichofuatiwa na kushindwa kwa moyo.
Taarifa rasmi imeeleza kuwa afya ya Papa ilikuwa tayari...
"Nimebubujikwa na machozi ya furaha" kumsikia Rais Donald Trump akitamka maneno mazito wakati akifungua sherehe na ibada maalum ya kuadhimisha Pasaka, masaa machache yaliyopita:
"Tukiwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Umri miaka 77 na asili kutokea Ireland ameshika hatamu muda huu.
Taarifa kamili za wasifu wake hapo chini kwa kimombo:
FARRELL Card. Kevin Joseph
Card FARRELL Kevin...
Wadau hamjamboni nyote?
Mungu wetu awatie nguvu wakatoliki na wakiristo wote tukiwa kwenye msiba mzito wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Papa Francis
Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi.
Watu 12 huko Ecuador wamepigwa...
Waziri wa mambo ya ndani Marekani Department of homeland security secretary Kristi Noem mwenye kiherehere cha kushika na kudepot wahamiaji wasiokuwa na makaratasi sahihi ya kuishi Marekani...
Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi...
hii ndiyo pakistani ( officially the islamic republic of pakistan) …
Take a walk through the streets of Bhati Gate Lahore, Pakistan and explore local life and street food. This 4K walking tour...
Mpaka leo hii China bara hakuna uwakilishi wa rasmi wa Kanisa Katoliki la Roma, shughuli zao zinafanywa na "underground church" ambalo ni kanisa la mafichoni na lisilotambuliwa na serikali ya...
Serikali ya ki Communist ya china imetishia kuchukua hatua kali dhidi nchi marafik waliokuwa wanafanya nao biashara baada ya nchi hizo kuwa ktk shinikizo la kuikacha china na kufanya biashara na...
Wadau hamjamboni nyote?
Papa Francis aliyefariki Leo anakuwa papa wa kwanza kwa kipindi cha zaidi ya Karne moja kuamua kutozikwa Vatican.
Mapapa kiutamaduni huzikwa Vatican ndani ya Kanisa Mkuu...
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali...
Donald Trump plans to shut dozens of US embassies – including 8 in Africa
According to an internal State Department memo seen by CNN, the Trump administration is considering the closure of up to...