International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani. YouTube · Afro Page 4.7K+ views · 4 days ago US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for...
5 Reactions
76 Replies
5K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ( BIBI ) lengo kuu la operation ya kijeshi inayoendelea huko Gaza ni kuifuta Hamas ili isije kuwa hatari kwa Israel tena. Gaza sasa itakuwa chini ya...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Habari hii iliripotiwa kwa mara ya kwanza mnamo Oktoba 9, 2024, kupitia jukwaa la Nairaland. Katika tukio hilo la kusikitisha, mwanamke mmoja nchini Nigeria alikamatwa kwa kosa la kumchoma msumari...
2 Reactions
15 Replies
671 Views
Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania yahitaji kuchukua hatua kali dhidi ya meli za uvuvi za kigeni, hasa kutoka China, zinazofanya shughuli za uvuvi haramu, zisizoripotiwa, na zisizodhibitiwa (IUU) ndani ya eneo...
1 Reactions
0 Replies
481 Views
Utawala wa Syria asubuhi ya leo umemkamata Dkt. Talal Naji mjini Damascus. Yeye ni Katibu Mkuu wa Front Front for the Popular Front for the Liberation of Palestine - General Command (shirika la...
0 Reactions
2 Replies
297 Views
Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameiagiza Wizara ya Hali ya Dharura kupeleka ndege kadhaa za kuzima moto za Beriev Be-200ES, pamoja na ndege ya usafiri ya Il-76TD, kuelekea kusini mwa Iran ili...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Tuliwambia Al Houth au Yemen hakuna nchi inayo weza.kuwashinda vita. US alikwenda kichwa kichwa alidhani Yemen atatishika. Juzi Vice Presdent wa US kawapo offer tena offer ili wawache kushambulia...
3 Reactions
5 Replies
592 Views
Viongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya. Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Iran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani. Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.
2 Reactions
4 Replies
500 Views
Niliweka humu uzi wa kugawa milioni 1 ikiwa kuna mtu atataja hata kiongozi mmoja tu wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa palestina (kama ilikuwepo) hakuna hata moja kaweza Watu waliojaribu...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo...
9 Reactions
104 Replies
3K Views
Mashambulizi yanayofanywa na Marekani nchini Yemen hayajaonesha dalili yoyote ya kupunguza nguvu za wanamgambo wa Houth kuendeleza mapambo ya kuwatetea wenzao wa Palestina. Kinyume chake...
7 Reactions
6 Replies
657 Views
Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga. https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78 Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
8 Reactions
63 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limesema kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa Uchaguzi ya nchi hiyo (CENI) hayaakisi taarifa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Kiongozi wa Hezbollah asema Serikali ya Lebanon inapaswa kufanya zaidi kukomesha mashambulizi ya Israel Kiongozi wa Hezbollah, Naim Qassem, ameitaka serikali ya Lebanon kuchukua hatua zaidi...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
China imeweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kufanikiwa kutengeneza Kituo cha reli kikubwa ndani ya masaa Tisa. Waliweza kukusanya zaidi ya Wafanya kazi 1,500 zikiwa na Mashine nzito na kufanikiwa...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa sasa tunaiona Taiwan kama eneo linalovutana na China, huku kila upande ukidai uhalali. Lakini je, historia ya Taiwan ni ipi hasa? Ilikuwaje sehemu ya China? Je, Nationalists walifika vipi...
1 Reactions
8 Replies
636 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…