International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa...
18 Reactions
74 Replies
3K Views
IDF inasema 'inanyakua maeneo ya kimkakati' inapozindua hatua za kwanza za uvamizi mpya wa Gaza unaoitwa 'Magari ya Gideoni' IDF inasema imeanzisha hatua za kwanza za mashambulizi yake makubwa...
4 Reactions
7 Replies
729 Views
Chanzo cha ugomvi kati ya Morocco na Algeria ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kisiasa, na kijiografia, lakini sababu kuu kabisa ni mgogoro wa Sahara Magharibi (Western Sahara). 1. Mgogoro...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Katika ziara ya Trump kwa nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati iliyomalizika leo amekomba utajiri mkubwa wa nchi hizo.Trump amefanya mikataba mikubwa ya kibiashara na ya kiulinzi ndani ya...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
Kweli Marekani imepata mchambaji! Hawa wasanii nao walijitakia wenyewe! Trump targets Taylor Swift and Bruce Springsteen on Truth Social The Dark singer accusing Trump of being "unfit" for...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndege-vita za Israel sasa hivi zinapiga kwenye bandari zinazomilikiwa na Houth hii inafuatia Jaribu lao la kurusha kombola la balestic huko Israel hata hivyo kombola hilo li lipo polewa na Mifumo...
4 Reactions
14 Replies
743 Views
China,Azerbajan na Iran kila moja kwa upande wake zimeilaumu India kuanzisha vita na Pakistan kwa sababu zisizo na msingi. Kwa upande wa Uturuki raisi Tayep Erdogan amesema yeye analaani...
17 Reactions
124 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a.(BIBI) leo kabla ya SABATO kuanza hapo saa 12 jioni alishuhudia “LIVE” kipondo kilichokuwa kikishushwa kwa nguvu kwa Wahouth huko Yemen 🇾🇪...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Jamaa badala ya kuigiza wenyewe wamefanya uhalisia! 1) Wametumia choo! flee the jail on Friday through a hole behind a toilet and scale a wall 2) Walinzi wanakuja kustuka baada ya masaa saba...
1 Reactions
6 Replies
843 Views
Waislamu wengi hasa kutoka Asia na Africa kwenye mitandao ya kijamii hasa Tiktok wamekasirishwa Sana na ziara ya Rais Trump katika nchi za Ghuba Saudi Arabia, Qatar na UAE. Wameiponda hasa UAE...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Juzi Saudi Arabia makomandoo waliovalia kanzu nyeupe na mikanda mieusi huku bastola zikining'inia kiunoni waliwashangaza walimwengu Kwa kuwaandalia kahawa Trump. Jana Qatar ulimwengu pia...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa wazungu wa Marekani Taylor Swift wa kulia anaonekana amekuwa kibonge na sio wa moto tena kama alivyokuwa kushoto! Sio ajabu Trump hataki kuja Africa maana huku "mizigo" ndio kipaumbele na...
3 Reactions
15 Replies
860 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa FBI, James Comey alichapisha picha kwenye Instagram ikionyesha magamba ya bahari yakiwa yamepangwa kuunda namba 8647. Baada ya chapisho hilo, kulikuwa na mjadala...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Sanamu la kumuenzi mke wa Trump, Melanie Trump mwenye asili ya nchi ya Slovenia .limeibiwa na maharamia wa biashara ya vitu vya sanaa wanaojulikana kama Art Thieves Inasemekana hilo sanamu...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
🚨 GRAPHIC VIDEO: Report ya Awali ya Polisi: Anayeshukiwa Kudunga Kisu Shambulizi la Kigaidi katika Mji Mkongwe wa Jerusalem Muda mfupi uliopita, afisa wa polisi alidungwa kisu katika Jiji la Kale...
0 Reactions
2 Replies
418 Views
Bunge la Seneti limeanza kuchunguza ombi la kumvua kinga ya useneta rais wa zamani Joseph Kabila siku ya Alhamisi, Mei 15. Akishutumiwa na mamlaka ya Kongo kuwa mshiriki wa kundi la waasi la...
0 Reactions
7 Replies
697 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t...
17 Reactions
236 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…