International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ugonjwa wa kipindupindu umeua watu 70 ndani ya siku mbili katika mji mkuu wa Sudani, Wizara ya Afya meitangaza leo Alhamisi, Mei 29. Haya yanajiri wakati Khartoum ikikumbwa na kuzorota kwa huduma...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Wizara ya Ulinzi yathibitisha idhini ya serikali ya makazi mapya 22 ya Ukingo wa Magharibi Katz, Smotrich wapongeza uanzishwaji wa jumuiya mpya, kuhalalisha vituo vya wanyama pori kama 'ukuta wa...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
HARVARD vs TRUMP (2025): VITA KUU KATI YA ELIMU NA MADARAKA YA SERIKALI Na Goodluck Maleko J “Kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani ya kisasa, chuo kikuu kinapambana moja kwa moja na...
0 Reactions
8 Replies
768 Views
Katika Eneo moja linaitwa Ouagadougou Nchini Burkina Faso, Mapinduzi ya Teknolojia yanazidi kushika kasi baada ya Watoto walio na umri wa miaka 7 kupewa ujuzi wa kutengeneza Roboti. Watoto wao...
0 Reactions
1 Replies
305 Views
Ghadhabu inazuka katika kambi inayounga mkono Palestina baada ya Morocco kumkaribisha na kumuenzi Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Tomer Bar.
2 Reactions
12 Replies
646 Views
Kufuatia waasi wa M23 wanasapotiwq na Rwanda kuukalia mji wa Goma kimabavu je ndio mwanzo wa kuigawa DRC? Wengi walisikia kuhusu mkataba wa lemera ambao unasemwa ndio uliwapa watusi...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi...
3 Reactions
99 Replies
4K Views
Bukumbirwa, Rusamambu, Kilambo et Ngengere (Walikale, Ikobo) chini ya AFC/M23 tena. Ni baada ya mapigano makali baina ya M23 na jeshi la serikali ya DRC na washilika wake huko Kivu Kasikazini.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kenya bado ikiendelea kuwa ndio jukwaa kubwa zaidi la mambo makubwa yanayotokea katika ukanda wa Africa Mashariki imepata ugeni wa ujumbe mzito wa jeshi la Marekani kamandi ya Africa (US AFRICOM)...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu...
2 Reactions
17 Replies
940 Views
Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati. Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais wa Indonesia Prabowo Subianto alisema Indonesia iko tayari kutambua na kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel ikiwa Tel Aviv italitambua taifa la Palestina. Iwapo Indonesia inataka...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Kuanzia Machi 2024, Ben Gvir alihimiza kupitisha adhabu ya kifo kwa magaidi na kusitisha msaada huko Gaza Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir akihutubia makumi ya maelfu ya watu...
2 Reactions
11 Replies
547 Views
Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi. Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
0 Reactions
12 Replies
821 Views
Hivi majuzi, nchi mbili muhimu za Afrika zimesema hapana kwa Marekani. Moja ni Kenya. Tarehe 19, Bunge la taifa la Kenya lilipinga shutuma za baraza la seneti nchini Marekani kwamba nchi hiyo...
3 Reactions
6 Replies
667 Views
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameidhinisha sheria mpya inayowalazimisha madereva wa magari kulipa tozo ya redio kabla ya kuweza kusajili au kupewa bima ya magari yao – hatua ambayo baadhi...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, May 28, 2025 Israelis gather nationwide to mark 600 days since hostages...
2 Reactions
0 Replies
308 Views
Huko Yerusalemu sherehe za Siku ya Yerusalemu (Yom Yerushalayim) zilianza jana na leo z inaendelea kwa siku nzima. siku ya leo wanasherehekea kuunganishwa tena kwa Yerusalemu tangu vita vya siku...
2 Reactions
2 Replies
433 Views
This is the moment French President Emmanuel Macron appears to be pushed in the face by his wife, Brigitte, as they arrive in Vietnam. An Elysee official said "the president and his wife were...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…