International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kufuatia operesheni maalum ya IDF na Shin Bet katika eneo la Rafah, mwili wa marehemu Natthapong Phintha, ambaye alitekwa nyara kutoka Kibbutz Nir Oz mnamo Oktoba 7, umerudishwa Israeli...
1 Reactions
5 Replies
314 Views
Trump na Musk wanafanya biashara ya matusi huku mzozo ukizuka hadharani Mtafaruku kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na mshauri wake wa zamani Elon Musk umeibuka wazi, huku kila mmoja...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Yaani jamaa huwa wamejazwa ilmu ya dini, sio mchezo, mpaka mtu anaamua kujilipua...... Asuspected al-Shabab suicide bomber killed several people and wounded others Sunday in an attack on a...
2 Reactions
7 Replies
671 Views
Greta na marafiki wanakaribia Nchi Takatifu. Israel tayari imeamua kwamba Kiherehere maarufu huyo hatafika ufuo wa Gaza. Atapigwa na kitu kizito hukohuko!!
1 Reactions
6 Replies
605 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka...
0 Reactions
5 Replies
518 Views
Wanaukumbi. Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu has said the country is using armed gangs in Gaza to help fight Hamas, his admission coming after a new wave of military strikes on the...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna double standard hata katika nchi ambazo mnaona kuna utawala wa kisheria,Mwenye mamlaka daima hawezi kufanana na wewe hata iweje.
0 Reactions
9 Replies
304 Views
NATO wana ofisi( liaison officer) kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika ( AU) yaliyopo Addis Ababa Ethiopia. Ofisi za NATO ziko hapo tangu mwaka 2015. Viongozi wanaouhusika na masuala ya kijeshi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani. Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio. Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Raia wa Misri Mohammed Sabri Suleiman amefunguliwa mashitaka 118 ya uhalifu baada ya kufanya shambulio kwenye maandamano ya Colorado yaliyofanyika kuwaunga mkono mateka wa Israel. Mashtaka dhidi...
1 Reactions
5 Replies
351 Views
Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno. Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Donald Trump ameendelea kumshambulia Elon Musk kupitia mtandao wa Truth Social, akisema: "Elon alikuwa ‘anavuka mipaka’, nilimwambia aondoke, niliondoa amri ya magari ya umeme (EV Mandate)...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Jeshi la Israel lilidai siku ya Alhamisi kuwa “maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kushambulia miundombinu kadhaa ya chini ya ardhi inayotumika kutengeneza ndege zisizo na rubani (UAVs) ambayo...
2 Reactions
15 Replies
914 Views
Bila shaka kuna vitu Trump kajifunza kuhusu Xi katika hivi vita vya biashara na ushuru mpaka tulipo fikia hapa inawezekana alikuwa ana mchukulia kawaida Rais wa China Xi kama anavyo vichukulia...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Kiongozi wa Upinzani huko Israel bwana Yair Lapid ameishutumu serikali ya Israel chini ya Benjamin Netanyahu kwa kuunda kundi jingine la wanamgambo huko Gaza na kuwapa Silaha. bwana Yair amesema...
0 Reactions
8 Replies
765 Views
Lebanon yalaani shambulizi la anga la jana usiku huko Beirut. Israel inasema Lebanon ijilaumu yenyewe pamoja na magaidi wa Hezbollah inaowakumbatia. Waziri wa Ulinzi Israel Katz alijibu matamshi...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Naona wameshibana sasa, mpaka Musk kumwambia Trump bila yeye, asingeshinda Na pia Musk amekasirika baada ya Trump kuweka kodi kubwa kwa matajiri Tulisema hawa hawafiki mbali Yamefika sasa...
1 Reactions
10 Replies
584 Views
Marekani yapinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa kwa mapigano Gaza Marekani inapiga kura ya turufu azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka...
1 Reactions
15 Replies
919 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…