Wamesema IMETOSHA!! Kama marungu na sisi tunayo. kama mapanga na sisi tunayo na chochote, wala hatutanyanyaswa tena kizembe! Wameingia mitaani wakisema liwalo na liwe...
Bunge la Kitaifa limetoa idhini ya awali kwa Sheria mpya ya Muezzin, ambayo ingezuia matumizi ya vipaza sauti vya misikiti wakati wa saa fulani na kuwapa mamlaka mamlaka ya ziada ya kutekeleza...
Mashambulizi ya Israeli yalifanywa katika maeneo kadhaa ya kusini mwa Lebanon usiku kucha, huko Beit Yahoun, Sijdin na Jabal al-Batm.
Vitisho vya Iran ni sawa na Panya kumtishia Paka
Wizara ya Ulinzi ya Israeli na kampuni ya teknolojia ya ulinzi ya Rafael wamekamilisha kampeni mpya ya majaribio ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Iron Dome, wakianzisha maboresho yaliyoundwa ili...
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.
Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea...
Picha inayoeleza ukweli wa "ushindi" wa Majeshi ya Israel kwa kuua mamia ya magaidi wa Hezbollah angalia hapo- malori yaliyobeba Mizoga ya magaidi wa Hezbollah kwenda kuizika.
Hii ni kazi nzuri...
Wakuu,
Mwanaharakati wa utamaduni na muigizaji wa Afrika Kusini, Phakel’umthakathi amesema kuwa Afrika Kusini ina utajiri wa kutosha kiasi kwamba inaweza kulipa kila raia wake rand milioni 1 kila...
Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha mabadiliko ya katiba yanayopunguza madaraka ya rais na kuongeza nguvu za bunge. Marekebisho haya yaliyopendekezwa na chama tawala cha PASTEF, yamepitishwa...
Katika ukanda wa Africa mashariki yawezekana kwa sasa the best president ni hyu Paul kagame
Jamaa ametulia na anajua anachokifanya hapayupayuki hovyo
Sera zake zimejikita katika Rwanda kwanza na...
Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote!
Kwa...
Mahakama ya rufaa nchini Afrika Kusini ilisema Jumanne kwamba familia ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu ndiye yenyen maamuzi ya wapi atakapozikwa kiongozi huyo wa zamani, na kubatilisha amri...
Waziri Mkuu Netanyahu aliwatembelea wanajeshi wa IDF kusini mwa Lebanon.
Alisema: "Hezbollah hapo awali ilikuwa nguzo imara zaidi ya mhimili wa kikanda wa Iran, ikiwa na takriban makombora na...
Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la...
Given contradicting reviews between regulating bodies on the use of Aspartame it is wise not to use soft drinks.
07/21/2023
ADVERTISEMENT
The World Health Organization(WHO) and the Joint...
Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni.
Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani...
Wakuu, ni wazi kabisa kwamba mchakato wa kusuka Katiba Mpya barani Afrika sio lelemama hata kidogo. Tukio la jana, Juni 29, 2026, kwenye Bunge la Senegal limebainisha wazi kuwa safari hii sio...
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kwamba moja ya malengo makuu ya kijeshi ya nchi hiyo ni kufikia ukubwa wa kimaandazi katika ulinzi na mashambulizi ya anga za juu, ikiwa ni...
Breaking News: 269 More Nigerians Return from South Africa as Federal Government Intensifies Evacuation Efforts
The Federal Government has successfully evacuated an additional 269 Nigerians from...
Warusi wanakabiliwa na foleni ndefu na uhaba wa mafuta katika vituo vya mafuta huko Moscow na maeneo mengine baada ya wimbi la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Ukraine kulenga viwanda...
Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya...