Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe.
Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa...
Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.
Yaani hata nzi hajafa...
Biblia inamtaja Yerobohamu mwana wa Nebati mara kwa mara kama mfano wa “mfalme aliyefanya dhambi na kuwaongoza Israeli kutenda dhambi” — almost kila mfalme aliyefuata katika ufalme wa kaskazini...
Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
Dikteta bora Park Chung Hee former South Korea Military General.
Rais wa Korea kusini 1963-1979.
Dikteta aliye itoa Korea Kusini kwenye matope na umasikini uliotopea kwa mkono wa Chuma.
Bintiye...
Katika ajali mbaya ya ndege ya Air India AI171, taarifa za kusikitisha zimeibuka kuhusu Dr. Komi Vyas, ambaye alikuwa abiria katika ndege hiyo pamoja na familia yake.
Dr. Komi Vyas, ambaye...
Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu.
Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za...
Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao.
Nasemaje nasemaje...
Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika.
Kiongozi wa Hamas kule Lebanon...
Mahakama ya Ufaransa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Joel Le Scouarnec ambaye ni Daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri Kuwanyanyasa kingono wagonjwa na kubaka wagonjwa 229, wengi wao...
Kutokana na harakati nyingi za kijeshi zinazoendelea huko Israel kuna uwezekano mkubwa sana Iran ikashambuliwa ndani ya Wiki hii.
Kama Israel itafanya hivyo basi itakuwa imewafumba miodom wote...
Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada.
https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440
Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa...
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma...
Trump ameripotiwa kujaribu kuzishawishi nchi kama Indonesia, Jordan, Misri, Albania, Lybia, Somalia, Somaliland na nyinginezo kuwachukua Wapalestina, lakini hakuna hata mmoja kati yao aliye...
Kwa mjibu wa taarifa za awali, uchaguzi wa tarehe 5 Juni, 2025, unaiacha CNDD-FDD katika nafasi ya kuwa na wabunge wote wanaohitajika bungeni.
Kwa mjibu wa katiba ya Burundi, vyama vya siasa...