International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesaini rasmi sheria mpya inayoongeza muda wake wa kukaa madarakani kwa miaka miwili hadi mwaka 2030, kulingana na taarifa iliyotolewa Julai 7, 2026 na...
4 Reactions
16 Replies
324 Views
Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa will remain in office until 2030 after signing the controversial Constitution Amendment Bill No. 3 into law, marking one of the most significant political...
0 Reactions
3 Replies
112 Views
BBC – Nigerian President Bola Tinubu has ordered a corruption investigation into allegations that a fictitious government agency was set up within his own office, complete with public funding...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. 🔹 Tukio...
0 Reactions
5 Replies
295 Views
Jeshi la Marekani "limekamilisha" awamu mpya ya mashambulizi nchini Iran, likipiga zaidi ya maeneo 80, kulingana na taarifa iliyotolewa Jumanne usiku na US Central Command. Marekani pia imerejesha...
1 Reactions
6 Replies
339 Views
Wanaukumbi. Spika wa Bunge la Iran na mpatanishi mkuu wa nchi hiyo, Mohammad Baqer Qalibaf, ametoa wito kwa Wairani kushiriki kwa wingi katika mazishi ya Kiongozi Mkuu wa zamani wa Iran...
5 Reactions
77 Replies
1K Views
Ghana imekataa ombi la ziara ya kiserikali ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, huku kukiwa na uhusiano mbaya unaosababishwa na wimbi la mashambulizi dhidi ya wageni (xenophobia)...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa on Tuesday signed into law a controversial constitutional amendment extending his current term by two years to 2030, cementing one of the country's most...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Ibrahimu Traore Uhuru wa watu kuamua mambo Yao na viongozi wao ndo maendeleo ya kwanza katika taifa lolote. Kuna MAGEREZA unapewa chakula Bure na Kila kitu isipokuwa uhuru TU, Lakini hakuna...
10 Reactions
57 Replies
864 Views
Mahakama moja mashariki mwa China imemhukumu kifo aliyekuwa ofisa wa serikali ya jiji kwa kupokea hongo ya zaidi ya yuan bilioni 2.2 ($325m; £243m) kwa kipindi cha miaka 30. Muhtasari wa Kesi ya...
1 Reactions
5 Replies
239 Views
Halafu kuna kilaza mmoja anaendeshwa na mihemko hata hajielewi kavaa kobaz zimeisha mpaka zimetoboka anatembea na ndizi kusubiria kwenye ubwabwa, hitma au arobaini. Ameshalishwa matango pori na...
7 Reactions
50 Replies
845 Views
Iran imeandaa mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei ambae Aliuwawa February 28 mwaka huu. Imetimia miezi minne sasa toka auwawe kwa kushindiliwa kwa mabomu zaidi ya 20 ya...
3 Reactions
78 Replies
2K Views
Jeshi la Majini la China hivi karibuni lilipata mafaniko katika jaribio la kombora jipya la kimkakati lililorushwa chini ya maji katika Bahari ya Pasifiki. Hii ni hatua nyingine muhimu katika...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Wanaukumbi. 🚨 KUTOKEA KWA MMOJA KUNATAWALA VICHWA VYA HABARI. 🇮🇷 Kiongozi Mkuu wa Irani Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya baba yake. Uamuzi huo umezua maswali mara moja, huku umakini...
2 Reactions
13 Replies
338 Views
Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na...
6 Reactions
93 Replies
1K Views
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, hatua inayotafsiriwa kama kujitenga na Pastef, chama kilichomfikisha madarakani kwa ushirikiano na mshirika...
2 Reactions
3 Replies
197 Views
Hezbollah ilifanya sherehe za mazishi kwa magaidi wake 89 siku ya Ijumaa katika vijiji 8 katika Wilaya ya Tyre kusini mwa Lebanon. **** Washindi wakuu wa Upinzani wanaendelea kuingia kwenye pipa...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
Mtoto wa miezi 18, Vincent Fiordilino aliyekuwa ametangazwa kufariki dunia Nchini Marekani baada ya kuzama kwenye bwawa la kuogelea, alikutwa akiwa bado hai saa kadhaa baadaye katika chumba cha...
1 Reactions
7 Replies
178 Views
Na wala sio jambo jipya, waliwahi kufanya hivyo 2024. 2025 vita ya siku 12 na hata mwaka huu, Hakuna hata ndege moja ya Israel iliyozuiliwa na mifumo ya anga ya Iran. In simple ni kwamba Israel...
2 Reactions
43 Replies
497 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…