International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Tumeisha toa amri Israel lazima atiwe adabu na nchi yeyote inayo ingilia tutaishambulia https://youtu.be/ij4yaxMawng?si=Pepu-im6QwJ48gLZ Vitu vinaondoka mda huu...
6 Reactions
12 Replies
882 Views
Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote. Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu? Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia' Kukomesha uvumi, Admiral Ali Shamkhani, mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Kampuni ya TotalEnergies (TTEF.PA) inatarajia kuanza tena uendelezaji wa mradi wake wa gesi asilia iliyolengwa kushindikwa (LNG) wenye thamani ya dola bilioni 20 nchini Msumbiji “msimu huu wa...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana JF. Kumekuwa na Threads nyingi Sana zinazo husu masuala ya vita Kama Ukraine na Russia, Gaza na Israel n.k. hivi Sasa Kuna vita vinaendelea kati ya Israel na Iran nitaelezea kidogo...
1 Reactions
6 Replies
569 Views
🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha. "Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii...
3 Reactions
10 Replies
821 Views
Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi. Katika safari ya vita ya...
9 Reactions
66 Replies
3K Views
Israeli military says new Barak defense system intercepts drone in first operation The Israeli military said on Friday that its Barak air defense system successfully intercepted an unmanned...
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Hii ndio the latest report kutoka IDF.
1 Reactions
1 Replies
470 Views
Hii sio sasa maana Usrael wanaingia na kutoka kwenye anga la Iran utadhani wanacheza game. Mikwara yote ile tuliyokuwa tunasikia ya mifumo imara ya ulinzi wa anga imegeuka kuwa kama kituko, Hivi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
dakika 46 zilizopita "Vita vyetu nchini Iran vinaweza kudumu kwa muda mrefu," jeshi la Israeli linasema "Mapigano yetu nchini Iran yanaweza kudumu kwa muda mrefu," msemaji wa jeshi la Israel Avi...
0 Reactions
9 Replies
997 Views
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ametangaza kusitisha ghafla kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, kufuatia mvutano unaoendelea kati ya serikali na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mawaziri wa Ulaya wanatarajiwa kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo, Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Iran anatia huruma sometime, ila kwa upande mwingine kutetewa kimataifa inakuwa ni ngumu. Marafiki zake hawajitokezi hadharani, huenda wanamsaidia kwa siri, na rafiki yake mkubwa, vita vya...
3 Reactions
7 Replies
725 Views
Baada ya tamko la Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia Edgar Lungu ambalo yalikuwa ni maagizo yake ya kwamba mpinzani wake wa kisiasa na Rais wa sasa Hakainde Hichilema hapaswi kufika popote karibu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral...
18 Reactions
75 Replies
3K Views
Raisi Donald Trump wa Marekani hashikiki kwa hasira na kiwewe anatoa majibu yasiyo na mpangilio maalum wala hadhi za ikulu ya White House. Kisa cha hali hiyo ni kutokana na Iran kuwa na huru wa...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani...
11 Reactions
93 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…