International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakati Magaidi wa Iran wakibwabwaja Mlango wa Bahari wa Hormuz uko mikononi mwa majeshi ya Marekani
2 Reactions
13 Replies
346 Views
Mazishi ya watu wengi kwa magaidi wa Hezbollah waliouawa na Israeli bado yanaendelea kusini mwa Lebanon. Picha na mabango 2 yanatoka kwenye kundi la leo. Orodha ndefu (picha 3 za mwisho) ni kundi...
3 Reactions
6 Replies
117 Views
Iran kwa sasa inaonekana kama nchi inayosema: “Ni afadhali nikabiliane na Uncle Sam kuliko nimguse Israel.” Marekani ikishambulia, Iran nayo hujibu kwa kushambulia kambi za Marekani katika...
8 Reactions
59 Replies
998 Views
AMEANGAMIZWA: KAMANDA WA HAMAS, WALID HANIYA—ambaye anadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua watoto 10 wasio na hatia mbele ya familia zao, na ambaye pia anadaiwa kumbaka kwa nguvu na kumuua mwanamke...
2 Reactions
4 Replies
86 Views
AMEKATAA OFFA ---------- Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amekataa katakata ofa ya kwenda Moscow kukutana na Vladimir Putin. Amesema mapendekezo hayo ya Kremlin ni "michezo" tu, na yeye...
9 Reactions
50 Replies
1K Views
Katika matukio ya kutisha yaliyotokea wakati wa tetemeko la ardhi nchini Venezuela, mtoto mdogo anayejulikana kama Mateo anaripotiwa kunaswa chini ya vifusi baada ya majengo kuporomoka. Katika...
2 Reactions
5 Replies
182 Views
Makundi yanayojiita Islamic Resistance in Iraq yalitangaza Alhamisi usiku kuwa yanatoa zawadi ya dola milioni 10 kwa yeyote atakayemuua Rais wa Marekani Donald Trump, kwa mujibu wa shirika la...
0 Reactions
19 Replies
390 Views
Amri Kuu ya Marekani ilitangaza kwamba kizuizi cha baharini dhidi ya bandari za Iran kimerejeshwa, huku shughuli zikilenga meli zinazoingia au kutoka katika vituo vya pwani ya Iran. Iliongeza...
4 Reactions
32 Replies
855 Views
Msikilile Ayatollah akielezea maana ya "death to Amerika" halafu kuna watu wanamtetea kwamba alikuwa mtu wa amani na kwamba kaonewa, ilikuwa ni sawa kum-eliminate kwa maana yeye ndiye aliyeanza...
0 Reactions
38 Replies
475 Views
  • Featured
Serikali ya Sierra Leone imeamua kufuta mashtaka yote ikiwemo yale ya uhaini—yaliyokuwa yakimkabili Rais wa zamani wa nchi hiyo, Ernest Bai Koroma. Kiongozi huyo alikuwa amekamatwa akihusishwa na...
2 Reactions
9 Replies
554 Views
Former Binga North legislator Prince Dubeko Sibanda has approached Zimbabwe’s Constitutional Court in a new legal challenge against parts of the recently enacted Constitution of Zimbabwe Amendment...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Zimbabwe recorded 563 maternal deaths and 6,177 neonatal deaths in 2025, highlighting the continued challenges facing maternal and newborn healthcare despite ongoing efforts to strengthen the...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa...
1 Reactions
1 Replies
150 Views
Huu ni mwaka wa 50 tangu kuzinduliwa rasimi wa Reli ya TAZARA. Reli hiyo inayopita Bonde la Ufa la Afrika Mashariki ni ushuhuda wa urafiki kati ya China na Afrika. Nusu karne iliyopita, wahandisi...
0 Reactions
11 Replies
183 Views
Katika kipindi cha kati ya mwaka 1959 hadi 1961 China ilikumbwa na tatizo kubwa la uhaba wa chakula, tatizo ambalo lilisababisha madhara makubwa ya kiuchumi na kijamii na hata vifo kwa watu wengi...
1 Reactions
1 Replies
83 Views
Ukuta Mkuu wa China ni moja ya maajabu ya dunia yanayofahamika katika dunia nzima. Kwa sasa ukuta huu wenye urefu wa zaidi ya kilometa elfu 21 uliojengwa kwa ajili ya sababu za usalama kwa madola...
3 Reactions
2 Replies
114 Views
Ndani ya karakana iliyojaa watu wengi kando ya pwani ya Bahari Nyekundu ya Misri, Kareem Gaber, meneja wa vifaa katika kampuni ya Jushi Egypt Fiberglass Co., Ltd., amesimama karibu na kigari cha...
1 Reactions
0 Replies
72 Views
Kikundi cha kupinga wahamiaji nchini Afrika Kusini kimethibitisha kifo cha mmoja wa viongozi wake aliyepigwa risasi katika kile kinachodaiwa kuwa ni mauaji ya kupangwa. Andile Somgxada, ambaye...
2 Reactions
8 Replies
481 Views
Jitihada za Afrika Kusini za kuwashtaki wahusika wa kashfa kubwa ya ufisadi ndani ya jeshi la polisi zimegonga mwamba, baada ya mfanyabiashara Vusimuzi "Cat" Matlala kujiondoa kwenye makubaliano...
0 Reactions
2 Replies
105 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…