Mhariri mashuhuri wa gazeti la Zimbabwe Independent, Faith Zaba, amekamatwa na kuzuiliwa jijini Harare siku ya Jumatano kwa kuchapisha makala ya kejeli inayomkosoa Rais Emmerson Mnangagwa, hatua...
Trump alidai hivi karibuni kwamba Elon Musk angekuwa “rasmi anarudi Afrika Kusini” ikiwa serikali ya Marekani itakata misaada kwa makampuni yake. Hii ilitokea alipokosoa muswada wake wa matumizi –...
moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa...
Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.
Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na...
srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema
Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald...
Watu watatu wameuawa na 35 kupelekwa hospitali kufuatia shambulio la Ukraine kwenye kiwanda kimoja katika mji wa Izhevsk - zaidi ya kilomita 1,000 kutoka mpakani, mamlaka ya Urusi inasema.
Kati ya...
Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida...
🇺🇸✈️ Marekani Yairuhusu Israel Kupokea Vifaa vya Mabomu ya Kisasa vya JDAM
Tarehe: 30 Juni 2025
Chanzo: Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Reuters, Anadolu Agency
Serikali ya Marekani, kupitia...
Marais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Vladimir Putin wa Urusi wamezungumza kwa simu jana Jumanne ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili na nusu.
Macron ametumia mazungumzo hayo...
Bunge la Kitaifa linaloungwa mkono na serikali ya Venezuela limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Volker Turk kuwa mtu asiyetakiwa nchini humo
Hatua ya Venezuela...
Picha za satelaiti kutoka Maxar Technologies zinaonyesha vifaa vizito vya ujenzi vikifanya kazi katika kituo cha nyuklia cha Fordo nchini Iran mojawapo ya maeneo yaliyoshambuliwa na jeshi la...
Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran
Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran
Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya...
Elon Musk alijua, kabla hata hajanipigia debe kwa nguvu kama Rais, kwamba nilikuwa napinga vikali agizo la magari ya umeme (EV Mandate). Agizo hilo ni la kipuuzi, na lilikuwa sehemu kuu ya kampeni...
Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi
Pia Waziri Mkuu wa...
1. Lord's Resistance Army (LRA):
Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara...