International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani...
2 Reactions
59 Replies
3K Views
BREAKING: IDF na ISA zimwemwangamiza gaidi wa Lebanon Qasem Salah al-Husseini, msaidizi mkuu anayefanya kazi katika Kikosi cha Quds cha Iran. Al-Husseini alikuwa nyuma ya ulanguzi wa silaha kutoka...
4 Reactions
22 Replies
906 Views
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD). Kiasi cha kuchukua maamuzi ya...
2 Reactions
9 Replies
484 Views
Habari zenu Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso: na hii ni Ripoti tangu kuchukua uongozi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi 1. GDP ya Burkina Faso iliongezeka kutoka karibu dola...
34 Reactions
105 Replies
6K Views
Hii ni extract kutoka Makala ya BBC, kuhusu Deni la Marekani; (Wengi wanaweza kusema kwamba hayatuhusu, ila ukweli ni kwamba Mchuma Janga hula na Wakwao; na Hapa Wakwao ni Dunia)... Simon Jack...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kiongozi mpya wa Hezbollah, Naim Qassem, amesema kundi lake halitoweka chini silaha wala kujisalimisha licha ya vitisho vya Israel. Akihutubia maelfu ya wafuasi wake wakati wa maadhimisho ya...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Viongozi wa kundi la madola yanayoinukia kiuchumi ulimwenguni – BRICS wanakutana mjini Rio de Janeiro kuanzia Jumapili. Wanatarajiwa kukashifu sera kali za kibiashara za Donald Trump. Mataifa...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Jeshi la Urusi limesema Jumapili kuwa limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne katika mkoa wa Donetsk na Sobolivka katika mkoa wa Kharkiv. Ukraine haijatoa tamko...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Wiki moja baada ya bilionea wa Marekani, Elon Musk kutangaza kujiondoa katika Serikali ya Rais Donald Trump, uhusiano wao umeendelea kutetereka kiasi cha wawil hao kulumbana mitandaoni. Musk...
15 Reactions
73 Replies
5K Views
Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini ) Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei amewateua makasisi watatu kama...
12 Reactions
63 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say 21 minutes ago Iran's Supreme...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuingia madarakani kwa mara ya pili kwa raisi Donald Trump kuna dalili zote za kuwepo kwa mkono wa Mungu ili kuliangamiza taifa la Marekani na Israel kwa namna za kimiujiza. Kwa raisi Trump na...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
And the vice versa is true "If the mountain won't go to Mohammed, then Mohammed must go to the mountain"
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa kinachoonekana, ni kuwa serikali ya DRC imejiandaa kuanzisha mashambulizi mapya kwa AFC/M23. Hapo jana, kundi la wanajeshi na mamluki, walitua uwanja wa ndege wa Kalemie, na Badae kuelekea...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Joseph Kabila aliyekuwa Rais wa DRC amezungumza kwa video na akamuita Rais wa sasa wa DRC Dictator. Kabila amezungumza baada ya Bunge la DRC kumuondolea kinga ya kutokushitakiwa. Mamlaka za DRC...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita...
4 Reactions
7 Replies
654 Views
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesaini sheria ya kusitisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia (IAEA), huku mvutano ukizidi kati ya Tehran na shirika hilo la Umoja wa...
8 Reactions
9 Replies
657 Views
Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Gesi kali aina ya Benzene imevuja na kutanda mjini Haifa, Israel baada ya Iran kulipua kituo cha usafishaji mafuta mjini humo Uvujaji wa gesi hiyo imerikodiwa kuwa mara 100 ya kiasi kile cha...
10 Reactions
108 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…