AMEKATAA OFFA
----------
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amekataa katakata ofa ya kwenda Moscow kukutana na Vladimir Putin. Amesema mapendekezo hayo ya Kremlin ni "michezo" tu, na yeye...
Katika matukio ya kutisha yaliyotokea wakati wa tetemeko la ardhi nchini Venezuela, mtoto mdogo anayejulikana kama Mateo anaripotiwa kunaswa chini ya vifusi baada ya majengo kuporomoka.
Katika...
Makundi yanayojiita Islamic Resistance in Iraq yalitangaza Alhamisi usiku kuwa yanatoa zawadi ya dola milioni 10 kwa yeyote atakayemuua Rais wa Marekani Donald Trump, kwa mujibu wa shirika la...
Amri Kuu ya Marekani ilitangaza kwamba kizuizi cha baharini dhidi ya bandari za Iran kimerejeshwa, huku shughuli zikilenga meli zinazoingia au kutoka katika vituo vya pwani ya Iran.
Iliongeza...
Msikilile Ayatollah akielezea maana ya "death to Amerika" halafu kuna watu wanamtetea kwamba alikuwa mtu wa amani na kwamba kaonewa, ilikuwa ni sawa kum-eliminate kwa maana yeye ndiye aliyeanza...
Serikali ya Sierra Leone imeamua kufuta mashtaka yote ikiwemo yale ya uhaini—yaliyokuwa yakimkabili Rais wa zamani wa nchi hiyo, Ernest Bai Koroma. Kiongozi huyo alikuwa amekamatwa akihusishwa na...
Former Binga North legislator Prince Dubeko Sibanda has approached Zimbabwe’s Constitutional Court in a new legal challenge against parts of the recently enacted Constitution of Zimbabwe Amendment...
Zimbabwe recorded 563 maternal deaths and 6,177 neonatal deaths in 2025, highlighting the continued challenges facing maternal and newborn healthcare despite ongoing efforts to strengthen the...
Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa...
Huu ni mwaka wa 50 tangu kuzinduliwa rasimi wa Reli ya TAZARA. Reli hiyo inayopita Bonde la Ufa la Afrika Mashariki ni ushuhuda wa urafiki kati ya China na Afrika. Nusu karne iliyopita, wahandisi...
Katika kipindi cha kati ya mwaka 1959 hadi 1961 China ilikumbwa na tatizo kubwa la uhaba wa chakula, tatizo ambalo lilisababisha madhara makubwa ya kiuchumi na kijamii na hata vifo kwa watu wengi...
Ukuta Mkuu wa China ni moja ya maajabu ya dunia yanayofahamika katika dunia nzima. Kwa sasa ukuta huu wenye urefu wa zaidi ya kilometa elfu 21 uliojengwa kwa ajili ya sababu za usalama kwa madola...
Ndani ya karakana iliyojaa watu wengi kando ya pwani ya Bahari Nyekundu ya Misri, Kareem Gaber, meneja wa vifaa katika kampuni ya Jushi Egypt Fiberglass Co., Ltd., amesimama karibu na kigari cha...
Kikundi cha kupinga wahamiaji nchini Afrika Kusini kimethibitisha kifo cha mmoja wa viongozi wake aliyepigwa risasi katika kile kinachodaiwa kuwa ni mauaji ya kupangwa.
Andile Somgxada, ambaye...
Jitihada za Afrika Kusini za kuwashtaki wahusika wa kashfa kubwa ya ufisadi ndani ya jeshi la polisi zimegonga mwamba, baada ya mfanyabiashara Vusimuzi "Cat" Matlala kujiondoa kwenye makubaliano...
Trump anataka na yeye ushuru
Chanzo cha picha,Reuters
Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Baharini (IMO), ambalo ni wakala wa Umoja wa Mataifa, limesema linapinga utozwaji wa ada kwa meli...
Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii...
HARARE, Zimbabwe – Zimbabwe has commissioned Africa’s first lithium sulphate processing plant, a landmark US$400 million investment expected to create more than 2,000 jobs while positioning the...
Bertha Asiedua Boadu, mwanafunzi kijana wa Ghana, alianza kupenda kutazama filamu za Kichina mwaka 2020. Ili kuelewa hadithi za filamu bila kutegemea (subtitle) yaani tafsiri zinazopita chini ya...