Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Julian Brown aka Nature jab mzaliwa wa Atlanta adai kugundua mashine inayoweza kubadilisha taka za plastiki kuwa petroli na diesel safi hajaonekana...
Urusi inamiliki kombora ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani, kwa mujibu wa Rais Vladimir Putin.
Amesema kombora "halipai juu sana, ni vigumu sana kulitambua...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti...
Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na...
Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025...
Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake...
Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia...
Jeshi la Polisi Nchini India limemkamata mwanaume mmoja aitwaye Harsvardhan Jain, kwa tuhuma za kuanzisha Ubalozi feki ambapo amekodisha Jumba la Kifahari pamoja na Magari ya Kifahari na...
Mtu mmoja mwenye bastola alifyatua risasi nje ya kasino ya Grand Sierra Resort mjini Reno, Nevada siku ya Jumatatu Julai 28,2025 saa 1:30 asubuhi kwa saa za Marekani. Tukio hilo lilitokea katika...
"Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir.
Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya...
Naam wakuu zile mbwembwe za Trump kujifanya na urafiki na Putin ilikuwa lengo lake kuu ni kuharibu uhusiano wa China na Russia.
Trump alitaka kuitumia Russia kitenge china na kuhamia usuhuba wake...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imewahukumu viongozi wawili wa kundi la waasi wa Kikristo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kwa makosa mbalimbali ya uhalifu wa kivita dhidi ya raia...
Tunafahamu ukweli kwamba kuna nchi barani Ulaya leo zenye idadi kubwa ya wahamiaji wa kiislamu Wakati mwingine, inaathiri sera za serikali zao kwa kuwakaribisha wahuni hao.
Lakini hii haiwezi na...
Hivi, Jafo anadhani watu kujizima data ba kutafuta maisha nchi za watu,wanakuwa wameacha mazuri kwao? Tanzania ni nchi kubwa,tajiri ukanda huu,na bado ina fursa kwa watu wengi.
Wasaka tonge...
Abbas Araqchi, akimjibu Donald Trump, alisema, "Ikiwa uchokozi huo utarudiwa, bila shaka tutajibu kwa uamuzi zaidi. Jibu ambalo halitawezekana tena kufichwa."
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran...
Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala...
Kampuni za kutengeneza magari za China zinajitahidi kadiri ziwezavyo kufungua uwezo wa nchi za Afrika, huku zikitilia maanani magari ya umeme na nishati mseto, wakati ambapo vikwazo vya kuuza...
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2024 imeonyesha kuwa kiwango cha njaa duniani kimepungua kwa mwaka wa tatu mfululizo, hasa kutokana na upatikanaji bora wa chakula nchini India na katika...
manuwari ya marekani yafurumushwa kwenye bahari ya Oman.
-US destroyer "Fitzgerald'' ilijaribu kuingia kwenye eneo la maji linalolindwa na Iran.
kwenye video iliyoachiwa siku ya jana inaonyesha...