Joe Biden huwa ananifurahisha sana.
Jamaa ni kama mchizi flani hivi.
Hebu ona hilo kumbatio...Hillary kwa kutumia lugha ya mwili anasema kabisa 'Joe imetosha, niachie basi'...
Lakini Joe bado...
Mwanamke mmoja kutoka Ghana ajirusha ghorofani baada ya kugundua mumewe kampa ujauzito mama yake mzazi
=======
A pregnant Ghanaian woman has committed suicide after finding her husband having...
Hillary Clinton not feeling well, leaves 9/11 event early
(CNN)Hillary Clinton left the 9/11 commemoration ceremony Sunday early after she felt overheated and went to her daughter's apartment...
The Anadolu news agency reports that the Turkish authorities have sent tanks to its border with Syria.
The Turkish military has sent 20 more tanks to an armored brigade it has stationed at...
Kituo cha Habari cha Urusi ambao uhusika na uchukuaji picha kimenasa tukio la Kulipuka kwa Volcano huko Kisiwani Reunion hii leo. Reunion inatenganishwa na Zanzibar na Mwambao wa Pwani ya Tanzania...
Nimenununa bidhaa kutoka aliexpress na nikiangalia tracking information zinasema mizigo ishafika Dar . Je ntaipataje au ntapigiwa simu? Nlitumiwa kupitia china post
A city in Ohio says it decided to release a set of graphic photos to drive home the devastating effects of heroin addiction and the toll it takes on families.
The photos show a man and woman...
Wizara ya Ulinzi ya Korea Kaskazini imetangaza kumaliza maandali yake ya kufanya jaribio la sita la kurusha kombora la nyukilia.
Marekani na Korea Kusini wasikitishwa na vitendo vya KOrea...
Serikali yatangaza kuwapunguza kazi jumla ya Watumishi wa Umma 25,000 kwa sababu haina uwezo wa kuwalipa wote mishahara
Pia imetangaza kufuta posho zote kwa wafanyakazi wa umma kwa kipindi cha...
Rais wa Marekani Barack Obama amevunja mkutano wake na Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, ambaye awali alikuwa amemwita "mwana wa kahaba".
Bw Obama awali alikuwa amesema kwamba angemuuliza...
10- J- 10
.
"
The J-10 adopts a tailless delta-canard aerodynamic layout, which was originally developed for the cancelled J-9 fighter. The aircraft has the horizontal control surfaces...
John W. Hinckley Jr. Aliyejaribu kumuuwa rais Ronald Reagan mwaka 1981 ameachiwa huru.
Mahakama ameamuru aachiwe huru mara baada ya kubaini anamatatizo ya akili, amekaa gerezani kwa miaka 35...
Watu zaidi ya 100 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mfurulizo wa mashambuluio ya anga. katika majiji ya Aleppo na Idlib, masaa kadhaa baada ya Marekani na Urusi kutangaza mpango wa...
Takribani watu 21 wamefariki dunia na 70 wamejeruhiwa, kufuatia kutokea kwa mlipuko katika kiwanda kimoja nchini Bangladesh.
Taarifa ya Jeshi la Polisi imeeleza kuwa katika Kiwanda hicho...
A federal appeals court on Friday blocked Kansas, Georgia and Alabama from requiring residents to prove they are U.S. citizens when registering to vote using a national form.
The 2-1 ruling is a...
Nilikuwa natazama CNN poll, Trump anaongoza kwa 45% dhidi ya 43% za Hillary Clinton.
Lakini pia inaonyesha kwa categories zote I.e likely voters, registered voters, truth worthy leader etc Trump...
Hivi karibuni wajerumani walifanya uchaguzi wa serkali za mitaani,katika matokea chama cha Christian Democratic Union (CDU) kimepoteza viti vingi sana.
Sababu za kushindwa vibaya kwa bi Merkel ni...
Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki.
Wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa...
Harnaam Kaur anasema kwa miaka mingi amekejeliwa kwa sababu ya ndevu zake
Mwanamitindo mwenye ndevu za urefu wa inchi sita ametambuliwa na Guinness World Record kuwa mwanamke wa umri mdogo zaidi...
Kiongozi wa taifa la Palestina Mahmoud Abbas
Wakati mkutano wa mapatanisho kati ya taifa la Palestina na Israeli ukiandaliwa kufanyika chini ya raisi Vladimir Putin, Israeli wametoa mdai kwamba...