Putin asitisha mkataba wa nyuklia kati ya Urusi na Marekani
Makombora ya Topol RS-12M yakiwa nje ya Moscow, 2008
Plutonium hutumiwa kutengeneza makombora ya nyuklia kama haya ya Topol...
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Chris Brown, aliwasili jijini Mombasa na kujikuta akizua gumzo baada ya kuitupa chini na kuivunja simu ya kiganjani ya shabiki mmoja.
Tukio hilo...
Mgombea urais wa chama cha Republican Marekani, Donald Trump, ameomba msamaha kwa matamshi machafu aliyotoa kuhusu wanawake katika kanda ya video iliyozuka ya miaka 11 iliopita.
Katika kanda...
Hawa ni mahasimu wakubwa wa kivita baina ya nchi zao yaani palestina na Israeli hapa walikutana kwenye moja ya tukio kubwa la msiba wa aliyewahi kuwa Waziri mkuu na Rais wa Israeli ndugu Shimon...
Anasema Maazimio ya UN hayana Maana Yoyote, Mbona MAREKANI, imeivamia IRAQ, AGHFANISTAN na LIBYA, kinyume na Maazimio ya UMOJA WA MATAIFA. Hilo nikatika kuonyesha Msimamo wa URUSI, juu ya watu wa...
Russian warships have launched a total of 26 cruise missiles at Islamic State facilities, destroying all targets.
Russian warships have attacked Islamic State targets in Syria, Russian Defense...
Kama kuna dikteta anayependwa na kusifiwa basi ni Fidel Castro, Madikteta wote Duniani huchukiwa na kukejeliwa kuanzia Hitler, Stalin mpaka Kim wa Korea Kaskazini lkn siyo Castro, leo hii...
China-Russia alliance challenges US-Western domina
Analysts see budding ‘bromance' between Vladimir Putin, Xi Jinping
Russian President Vladimir Putin and Chinese President Xi Jinping...
Mgombea wa Urais wa Marekani, Donald Trump ameingia matatani kwa mara nyingine tena baada ya kusambaa kwa video ya mwaka 2005 ambayo anasikika akiongea maneno makali ya jinsi anavyowachezea...
Rais wa Marekani Barrack Obama ametangaza hali ya hatari katika mji wa Florida baada ya picha za Satellite kuonyesha kimbunga Hurricane Matthew kinaelekea eneo hilo.
Vikosi vya uokoaji navyo...
Idadi ya vifo kufuatia kimbunga Matthew nchini Haiti inakaribia watu 842, kwa mujibu wa serikali.
Katika Miji asilimia 80 ya majengo yameporomoka.
Hadhi ya Kimbunga Matthew kwa mara nyingine...
Kampuni kadhaa nchini China zimetoa onyo kali kwa wafanyakazi wake na kuwataka wasinunue simu mpya ya kampuni ya Apple, iPhone 7.
Kampuni zilizotoa marufuku hiyo zinasema ni kwa sababu za...
Tuzo ya AMANI ya Nobel imekuwa ikitolewa kwa nadra sana kwa Bara la Africa.
Nimesikia Rais wa Colombia ametunikiwa Tuzo hii baada ya kusaini makubaliano ya kusitisha miongo mitano ya mapigano...
Tyson: Ninatumia Cocaine kukabiliana na ugonjwa wa Kiakili
Tyson Fury katika pigano.Bondia huyo anakabilia na matatizo ya kiakili
Bingwa wa ndondi katika uzani mzito duniani Tyson Fury amesema...
Wakuu nimeona kwenye vyomba vya habari haya majaribia na sijatosheka na mimeenda youtube na kushuhudia hizi silaha nazosikia watu wakizipigia debe na hakika nimeshuhudia.
Hizi missile za mrusi na...
Polisi nchini Ujerumani wanawachunguza mume na mke ambao wanadaiwa kumfungia mwanao wa kiume ndani ya nyumba kwa miaka 30, katika jimbo la Bavaria
Mwanamme huyo wa miaka 43 hajawahi kuonekana...
Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada wa kuliondoa taifa hilo kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC.
Serikali ya nchi hiyo tayari imewasilisha mswada...
Rais wa Colombia Juan Manuel Santos ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 2016 licha ya kuvunjika kwa mkataba wake wa kusitisha vita na waasi wa Farc nchini humo.
Rais Santos aligongwa vichwa...