Trump awaomba radhi wanawake Mara baada ya kuwadhalilisha.

Trump awaomba radhi wanawake Mara baada ya kuwadhalilisha.

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,495
Reaction score
15,313
Mgombea urais wa chama cha Republican Marekani, Donald Trump, ameomba msamaha kwa matamshi machafu aliyotoa kuhusu wanawake katika kanda ya video iliyozuka ya miaka 11 iliopita.

Katika kanda hiyo, Trump anasikika akijigamba kuhusu kuwagusa wanawake sehemu zao za siri na kujaribi kushiriki ngono nao, anasema: 'unaweza kufanya chochote unapokuwa nyota'.

Maafisa wakuu wa chama cha Republican wameshutumu vikali matamshi yake akiwemo spika wa bunge, Paul Ryan, aliyesema amechafuzwa roho na matamshi hayo.

Mhariri wa BBC wa eneo la Amerika kaskazini anasema hiki ni kiwango cha mzozo katika azma ya Trump kuwania urais wa Marekani

Katika kanda iliyorekodiwa Trump aliomba radhi kwa kuonekana akisoma , na ameahidi kuwa mwanamume bora zaidi lakini amemshutumu Bill Clinton kwa kuwanyanyasa wanawake kingono.

Amemshutumu Hillary Clinton pia kwa kuwakandamiza na kuwaibisha waathiriwa wa unyanyasaji uliotekelezwa na mumewe.

Maneno aliyoyasema Trump kuhusu kuchezea visimi vya wanawake.

 
Huyu Trump naye anatoa kauli za kukurupuka sana kwenye hotuba hafai kuchaguliwa kuwa raisi kabisa.
 
Clinton ni Rais wa kwanza mwanamke USA.

Bado kuapishwa tu.
 
Naimani wanawake watakua wamekusamehe trump, twende white house sasa
 
IMG_20161008_194352_023.jpg
 
Mkuu hebu tuambie Clinton anaongoza kukurupuka katika nini? maana wengi wanamfahamu Trump kwa kutoa kauli tata.
Hata malaika wetu tuliambiwa ni mkurupukaji tukakataa

Tumeshuhudia na tumezoea

Hata huko wasemayo wa huko tutayaona na tutayazoea

Tunabisha yaliyopo
 
Mkuu hebu tuambie Clinton anaongoza kukurupuka katika nini? maana wengi wanamfahamu Trump kwa kutoa kauli tata.

Wengi wanaona maneno ya Trump tu kwa sababu ndio media zilipofocus. Tunasahau enzi za Hillary.

Unakumbuka nani alishauri na kushikilia Marekani kuingia Libya kumtoa Ghadafi kwa kile alichokiita convening power?

"Clinton later used U.S. allies and what she called "convening power" to promote unity among the Libyan rebels (mercenaries who were formed by US itself) as they eventually overthrew the Gaddafi regime. The aftermath of the Libyan Civil War saw the country becoming a failed state, and the wisdom of the intervention and interpretation of what happened afterward would become the subject of considerable debate."

Au tunasahau alipotumia nafasi yake kwa Libya?
 
Trump akiwa rais naenda kunya ikulu
Na nikizuiwa na mpaka kushindwa kutimiza Mungu chukua roho yangu no matter how energetic i am.
 
Back
Top Bottom