Mahali ni jambo la maana, alisema Rais wa Marekani Donald Trump, aliyewahi kuwa mfanyabiashara wa mali isiyohamishika. Dakika chache baadaye, alitangaza kuwa Alaska, eneo ambalo Urusi iliuza kwa...
Kwa mujibu wa kituo cha habari cha D.W:
Mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa AFC/M23 yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Mazungumzo haya yalitarajiwa kurejea leo mjini...
Hii ni makala ya yule msichana wa kule Ecuador aitwaye Angelica Zambrano. Huyu alichukuliwa na kupelekwa Mbinguni na Kuzimu.
Kule kuzimu aliwakuta wasanii mbalimbali, akawakuta viongozi wa dini...
Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe.
Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine...
Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa...
China inakumbwa na matatizo makubwa mawili ambayo ni
1.Kupungua Kwa kuzaliana
2.Kuoungua Kwa kasi ya ukuaji wa Uchumi (Mdororo).
Cha kufahamu ni kwamba Kwa Sasa China lazima ikubaki kwamba...
BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa
Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA...
Habari kamili:
Taylor Adam Lee, mwanajeshi wa Marekani mwenye umri wa miaka 22 aliyekuwa akihudumu katika Kituo cha Jeshi cha Fort Bliss, Texas, alikamatwa tarehe 6 Agosti 2025 kwa tuhuma za...
Kenya imetangaza kuwa haina nia yoyote ya kulipiza kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia uamuzi wake wa hivi majuzi wa kuwapiga marufuku wageni kushiriki katika biashara ndogo ndogo...
Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump
Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika...
Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa "kuna fursa" ya kukutana na viongozi wa Urusi na Ukraine, kufuatia kile alichokitaja kuwa "mazungumzo yenye tija" kati ya mjumbe wake na Vladimir Putin...
Kanali wa Kikosi cha Walinzi wa Kifalme wa Saudi Arabia ameshiriki safari yake ya kusisimua na ya kihisia kutoka kuwa mtetezi mwaminifu wa Ufalme wa Kiislamu hadi kuwa mfuasi wa Yesu Kristo —...
Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichowekezwa na China kimezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Kabla ya hapo, Kituo cha Kimataifa cha Usafirishaji cha...
Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza mpango wa kuweka ushuru mpya wa zaidi ya asilimia 10 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka kwa nchi ndogo, zikiwemo kadhaa kutoka Afrika na Karibiani.
Hatua...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka...
Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya...
Kwanini Kenya ndio inaumia na tangazo la kuzuia wafanyabiashara wadogo hapa nchini naona tangu tangazo litoke wanalia lia media zote za kenya hadi waziri wa biashara na uwekezaji wa kenya leo...
Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele