Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo.
Hatua...
Idhaa ya Saudia ya Al-Hadath jana ilichapisha picha za mwanamume wa Gaza kutoka vitongoji vya kaskazini mwa Gaza City, ambapo alitangaza kwamba hatahama eneo hilo kama walivyoamriwa na majeshi ya...
Baada kuficha kifo cha Gaidi Mohamed Sinwar kwa muda mrefu leo hii Hamas wameamua kusema wazi kuwa Gaidi Mohamed Sinwar ndugu yake na Yahya Sinwar alikufa huko Gaza!!!
Hii inadhibitisha wazi kuwa...
Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia'
Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja...
My Take
Nchi za wanaojitambua zinachangamkia fursa ya kiuwekezaji na Nchi za Kiarabu ambazo zinapambana ku diversify Uchumi zao kutoka kutegemea Mafuta na kutafuta vyanzo vingine lakini hapa...
Israeli hawana chaguo ila kuchukua hatua.
Uongo wa Hamas ya Palestina kusema Gaza ina njaa na huku magaidi hao kuwatesa mateka wa Israel katika mahandaki yao huko Gaza na israel ilishaapa mauaji...
Nilishaandika uzi hapa, Historia yq Urusi na vita zake. Si allied wa kumtegemea hata siku moja.
Urusi ameshawageuka allied wake wengi before, Diplomasia ya Urusi ni baada ya kushindwa kabisa...
📸Tokyo, Japan
NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4
Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa...
Hiyo yote inasababishwa na Wapakistani kuzaa watoto wengi zaidi kushinda Wadenmark wazawa.
Wakati Wadenmark wanazaa mtoto 1 au 2, Wapakistani wao wanafyatua kuanzia 5 na kuendelea.
"We have 5...
Kutokana na malalamiko ya wanawake kunyanyaswa kingono wakati wa utekelezaji wa ibada ya Tawaf huko mji mtakatifu wa Waislam wa Makkah, Waislam wametoa wito wa eneo hilo kutenganishwa ili pawe na...
South Sudan inasema matatizo yao yanawatosha wenyewe hawawezi kubeba mizigo ya watu wengine.Kauli hiyo imetolewa kukanusha taarifa anazochapisha Benjamin Netanyahu kila uchao kuhusiana na wananchi...
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa wafanyakazi wake 11 nchini Yemen wametekwa nyara na Wahouthi.
Waasi wa Houthi walivamia ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sanaa kufuatia mashambulizi ya anga ya...
Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
The journey to Nane Nane this year was exciting, full of lessons and knowledge exchange. About 12 farmers from Singida Region travelled for this amazing experience—Farmers Day, famously known as...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha...
Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia baada ya tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.0 kupiga mashariki mwa Afghanistan, karibu na mpaka wake na Pakistan.
Zaidi ya watu 115 waliojeruhiwa wamepelekwa...
Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji...
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila...
Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza.
Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao...
The Israeli Air Force on Thursday carried out a targeted strike seemingly aimed at wiping out the military and political leadership of the Iran-backed Houthis in Yemen, in what Hebrew media...