Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,594
- 1,806
Serikali ya jamhuri ya watu wa China imeamua kufunga biashara zote za akampuni ya Korea kaskazini,zoezi hilo litaanza kutekelezwa mnamo mwezi januari mwakani,hii ni kutekeleza azimio la umoja wa mataifa la kuiwekea Korea kaskazini vikwazo vya uchumi ili kuishinikiza nchi hiyo iache mpango wake wa kueanya majaribio ya makombora ya nyuklia.