International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

BEIJING (AP) — China on Monday defended its growing trade with North Korea as permitted by U.N. Security Council sanctions that say they should avoid hurting “humanitarian needs.” China, the...
1 Reactions
0 Replies
714 Views
Tokyo, Japan. Muungano wa vyama tawala nchini umefanikiwa kushinda idadi ya kutosha ya viti na kufikisha theluthi mbili ya wingi wa viti kwenye Bunge Dogo katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amesema kuwa anapanga kuruhusu kufunguliwa kwa faili kuhusu mauaji ya aliyekuwa rais wa Marekani John F Kennedy. Rais huyo alituma ujumbe katika mtandao wa Twitter akisema...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Obama alivyoulizwa na.mtoto mdogo swali kwamba kwanini watu.wamekuchukia? Amesema kwamba.kwasababu.Ni.rais na si lazima ye awe rais wengi ambao amewashinda lazima wamchukie, Pili.kasema katika...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mjumbe wa Korea Kaskazini amesema kuwa silaha za kinyuklia za taifa hilo haziwezi kujadiliwa. Choe Son Hui amesema kuwa Marekani inafaa kujiandaa kuishi na Korea Kaskazini yenye silaha za...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema kuwa hakuweza kuzuia machozi yake alipomfikisha mwanawe mkubwa Malia katika chuo kikuu. Ilikuwa kama ''upasuaiji uliofanyika hadharani'', rais huyo...
27 Reactions
178 Replies
25K Views
Mkurugenzi wa shirika la ujasusi la Marekani CIA Mike Pompeo ametahadharisha kwamba Korea Kaskazini inakaribia sana kuwa na uwezo wa kuishambulia Marekani kwa kombora la nyuklia. Amesisitiza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kuchaguliwa jana Rais Mugabe wa Zimbabwe kuwa Balozi wa Heshima wa WHO leo uamuzi huo umetenguliwa rasmi Kiongozi Mkuu wa WHO ni raia wa kutoka Ethiopia sasa alijaribu kupeleka mwedelezo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Takribani watu 11 wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mlipuko wa kinachosadikika kuwa bomu pembezoni mwa barabara mchana huu huko Mogadishu nchini Somalia. Tukio hili linatokea ikiwa ni wiki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya umeipatia Serikali ya Burundi kiasi cha Euro Milioni 95 kwa ajili ya kuunga mkono miradi mbalimbali ya maendeleo nchini humo. Awali Burundi ilikatiwa baadhi ya misaada kutoka kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Idadi ya wanajeshi na polisi waliouawa katika mapambano na wapiganaji wa Kiislamu katika eneo la Bahariya magharibi mwa jangwa imefikia 53, maofisa usalama na matabibu wamesema. Wizara ya mambo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limemteua Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kuwa balozi wa 'uhusiano mwema' kusaidia kupambana na magonjwa yasiyoambukiza Kiongozi mpya wa WHO Tedros Adhanom...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kinara wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya NASA, Raila Odinga amesema kuwa Oktoba 25 atatoa ujumbe kuhusu jinsi ya kumwangamiza paka ambaye amekuwa akiwasumbua na kuharibu taifa lao. "Kuna njia...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Raisi wa Marekani Donald Trump amesema ya kwamba atatoa ruhusa ya kuwekwa wazi nyaraka za siri zinazohusiana na kuawa kwa JF kennedy. Kulikuwa na madai ya kwamba Trump atazuia kuwekwa wazi kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siasa za Marekani huwa na mambo ya ajabu pengine kuliko siasa za nchi nyingi duniani. Hii inatokana na mikakati na mbinu mbalimbali za kisiasa ambazo wengine wanasema huonesha mawazo ya watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matukio ya mashambulizi ambayo tayari yamewaua watu sita yameenea katika jiji la pili la nchi ya Malawi, Blantyre, ambapo watu wenye vifafa hupigwa na kuchomwa moto. Matukio hayo ya mashambulizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila mtu na starahe yake ila hapa wapiga.ugimbi bia komoni wanzuki.dadii na piywaa.mbege ulanzi.ndg zetu wa kusini sijawahau na pombe yenu ya mabibo(ulaka).wazigua wadigo wabondei yenu (kangala)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Taharuki imetanda katika Kaunti ya Kisumu kuhusu aliko Seneta wa Kaunti hiyo, Bw. Fred Outa, na aliyekuwa Naibu Gavana, Bi Ruth Odinga. Wawili hao hawajaonekana tangu maafisa wa usalama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jeshi la Korea Kusini limetoa vitisho vikali ambavyo havijazoeleka kwa kudai kuwa ikiwa kutaibuka vita na mapigano katika eneo hilo, basi litaangamiza makombora yote ya balestiki ya Korea...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…