UK yaipa Burundi fedha za maendeleo..

UK yaipa Burundi fedha za maendeleo..

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
Umoja wa Ulaya umeipatia Serikali ya Burundi kiasi cha Euro Milioni 95 kwa ajili ya kuunga mkono miradi mbalimbali ya maendeleo nchini humo.

Awali Burundi ilikatiwa baadhi ya misaada kutoka kwa wafadhili mbalimbali duniani kutokana na kukosekana kwa utulivu wa kisiasa nchini humo.

Hata hivyo, kwa sasa nchi hiyo imeanza kurudi katika hali yake ya utulivu baada ya vurugu zilizotokana na Uchaguzi Mkuu kupoa.
 

Attachments

  • Burundi.jpg
    Burundi.jpg
    71.3 KB · Views: 47
Burundi ime-stabilize kwa sasa i guess ndo maana hata jumuia za kimataifa zimeanza kurudisha Imani Burundi. ni hatua njema na ya kupongezwa. ila bado kinachonishangaza ni kuwa hela yao inazidi thamani shilling ya Kibongo wakati hata budget yao inaingia almost mara 10 kwenye budget ya TZ...
 
Back
Top Bottom