FrediusSnowden
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 269
- 225
Siasa za Marekani huwa na mambo ya ajabu pengine kuliko siasa za nchi nyingi duniani. Hii inatokana na mikakati na mbinu mbalimbali za kisiasa ambazo wengine wanasema huonesha mawazo ya watoto wadogo;ila ni "effective" katika ulingo huo. Jambo lingine ni kutokana na wananchi wenyewe wa Marekani wako "conscious" is a na masuala acha porojo.
Trump ni mfanyabiasha wa kitambo ambaye aliweza kupitia misukosuko mingi kama kufilisika, skandali mbalimbali nk kisha akainuka tena. Kwa matendo Trump amekuwa mstari wa mbele katika kusaidia Wamarekani weusi, wanajeshi, masikini nk. Ukiangalia wasanii kama Snoop Lion, Mike Tyson (mwana bondia), Bob Lashley (mwana miereka), Jacko (Michael Jackson), makanisa ya weusi, nk.. Amekuwa akiwapa "support" kubwa sana.
Tangu Donald Trump ahame chama cha Democrats na kujiunga na Republican amekuwa akoshambuliwa kwa ukali ajabu. Ikumbukwe kuwa Trump na akina Clinton walikuwa marafiki wakubwa sana.
Kwasasa dunia imeshuhudia siasa za wazi za Democratic ambazo zinafanyika kwa usiri mkubwa; kwa kutumia makundi kama ANTIFAS, KKK, nk. Kutokana na masuala haya na siasa hizi ambazo zilisababisha vifo vya watu wengi mashughuli nchini humo, hoja inabaki na swali moja ya msingi. Je, Trump atabaki salama nakuwaza kumaliza vipindi viwili?