Wakili mmoja wa kike nchini Zimbabwe ameanzisha kesi ya kufutilia mbali mahari akisema kuwa ni mila iliopitwa na wakati ambayo inawafanya wanawake kuonekana kama mali kulingana na gazeti la...
UBELGIJI: Aliyekuwa kiongozi wa Jimbo la Catalan, Carles Puigdemont pamoja na waliokuwa Mawaziri 4 wajisalimisha kwa polisi wa Ubelgiji
Kwa mujibu wa Mwendesha Mashtaka viongozi hao wako chini ya...
China imefanya kutokuheshimu wimbo wa taifa kuwa kosa linaloadhibiwa kwa adhabu ya hadi miaka mitatu jela ikiwa inajizatiti kuweka ndoto ya kizalendo ya China ya rais wake nayezidisha utawala wa...
Watu 27 au zaidi wamefariki na makumi wengine hawafahamiki walipo baada ya dhoruba iliyopewa jina la Damrey kuikumba Vietnam siku ya leo Jumapili, ikiwa ni siku chache zimebaki kabla ya viongozi...
Kwa kweli wenzetu wako mbele sana kwenye demokrasia, nashindwa kupata picha kama na huyu wa kwetu angekuwa anawekwa mbele ya bunge na kuhojiwa kama alivyofanyiwa Zuma! Hapa kwetu kuna madudu mengi...
Saudi Arabia imetungua kombora ambalo lilikuwa limerushwa karibu na uwanja mkuu wa ndege mjini Riyadh, taarifa zimesema.
Mlipuko mkubwa ulisikika karibu na uwanja huo wa ndege.
Duru kutoka jeshi...
urusi imeanza ujenzi wa kinu cha nuclear kijulikanacho kama Bushar 2, huko Iran.
Kinu hicho ambacho kitazalisha umeme wenye MW 2,100 kitatumia teknolojia ya vinu vya nuclear ya kizazi cha tatu...
Serikali ya falme ya Saudh Arabia imetangaza rasmi kuanza kwa vita dhidi ya ufisadi. Bilionea Alwaleed bin Talal ambaye ana hisa kubwa kwenye makampuni makubwa Apple, Twitter, Motorola, Time...
The Sun
MORE NEWS
SEND IN THE BOMBERS!
Russia AND the US send nuclear bombers to North Korea as Kim Jong-un tensions rise
The US sent a nuclear-capable B-2 stealth bomber from Whiteman Air Force...
HARARE, ZIMBABWE: Jeshi la Polisi linamshikilia Raia wa Marekani na kuichukua ''Laptop'' yake kwa tuhuma za kumkashifu Rais Mugabe kupitia Mtandao wa Kijamii.
Martha O'Donovan alikamatwa siku ya...
Humanoid robot Sophia has been made a citizen of Saudi Arabia - giving her more rights than local women
Women in the country are not allowed to walk in public unaccompanied
COMMENTS
Martin...
Mahali palipotokea maporomoko na kuua zaidi ya watu 200
Watu zaidi ya 200 wameripotiwa kufa baada ya kutokea maporomoko katika sehemu za majaribio ya nyuklia ya Korea kaskazini.
Maporomoko hayo...
Mamlaka ya Afghanistan inayothibiti mawasiliano iliwaandikia wasambaza 'internet' nchini humo wiki hii na kuwataka kuzia huduma za meseji za WhatsApp na Telegram lakini hakuwa wazi mara moja kama...
MUISRAELI AWATWANGA JUDO WAARABU NA KUSHINDA MEDANI YA DHAHABU HUKO ABU DHABI
WAGOMA KUWEKA WIMBO WA TAIFA WA ISRAEL
AAMUA KUIMBA MWENYEWE
Kijana Myahudi Raia wa Israel Gili Cohen ameibuka...
Rais Edgar Lungu wa Zambia amewaonya majaji nchini humo dhidi ya uamuzi wowote watakaotoa kumzuia asiwanie nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika mwaka 2021. Amesema hatua kama hiyo ya mahakama...
Haya semeni sasa au kwa kuwa ni Muzungu mtatetea? Raisi wa USA amemteua Jerome Powell kuwa Mkuu wa fed mtarajiwa, fed ndiyo kama Benki Kuu yetu na Powell siyo Mchumi bali ni Mwanasheria kitaaluma...
Alberto Kenya Fujimori alikua Rais wa 62 wa nchi ya Peru nchi niliyopo Amerika kusini, kwa mujibu wa vyanzo kadhaa Alberto Fujimori alikua na uraia wa asili ya Japan na vilevile Peru, Fujimori...
Katika tangazo lao la hivi punde rasmi kugomea kununua Bidhaa zilizofadhili Kampeni ya Rais Uhuru Kenyatta na Jubilee.
Baadhi ya Bidhaa hizo ni kampuni ya simu ya Safaricom.
Na kwa Mtazamo wa...