D.Trump ampendekeza Mwanasheria Powell kuongoza Fed!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Haya semeni sasa au kwa kuwa ni Muzungu mtatetea? Raisi wa USA amemteua Jerome Powell kuwa Mkuu wa fed mtarajiwa, fed ndiyo kama Benki Kuu yetu na Powell siyo Mchumi bali ni Mwanasheria kitaaluma!

Hapa Bongo zilipigwa kelele na chadema pale Raisi Magufuli alipomteua Mwanasheria kuwa Gavana wa BK eti siyo Mchumi hivyo hata mudu, mnasemaje sasa kuhusu fed kuongozwa na Mwanasheria?
 
From 1984 to 1990, Powell worked at Dillon, Read & Co., an investment bank, where he concentrated on financing, merchant banking, and mergers and acquisitions, rising to the position of vice president.[9][11

Jerome Powell - Wikipedia


Sasa Mwanasheria aliwezaje kuongoza investment bank wakati yeye siyo Mchumi? Kwa nini walimpa hicho cheo?
 
Pia jamaa alikuwa fed reserve board of governors tangia 2012,hivyo ametokea umo umo tu.sema mleta mada ushabiki umemjaa.
 
Back
Top Bottom