Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,169
Kwa kweli wenzetu wako mbele sana kwenye demokrasia, nashindwa kupata picha kama na huyu wa kwetu angekuwa anawekwa mbele ya bunge na kuhojiwa kama alivyofanyiwa Zuma! Hapa kwetu kuna madudu mengi yanafanywa na kiti lakini hata bunge linshindwa kumhoji kwa vile mizizi yake imejichimbia zaidi kwenda chini na mataahira kama akina Kibajaji ndo yanazidi kupiga vigelegele wakati mambo hayako njema! Inafika mahali kiti kinateua teua watu lakini hakuna wa kumhoji! Oneni Zuma alivyobanwa kuhusu kukamilisha uteuzi wa kamishina wa Polisi. Kwa kweli nimeipenda hii ya RSA!
Haya ndo kiti chetu kinatakiwa kiige badala ya kufyatua SMG na ma LMG kwa watu wasiokuwa na hatia!!
WATCH LIVE: Zuma's Q&A in Parliament on Thursday
Haya ndo kiti chetu kinatakiwa kiige badala ya kufyatua SMG na ma LMG kwa watu wasiokuwa na hatia!!
WATCH LIVE: Zuma's Q&A in Parliament on Thursday