Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
Raia wa china wakishirikiana na wanajeshi katika ufukwe wa Jiji la Qidong walishirikiana kumuokoa na kumrejesha baharini nyangumi alitupwa ufukweni na mawimbi.
My take: ingekuwa haoa kwetu polis wangekuta manyoya tu.
Unaweza kusoma zaidi hapa.
People help stranded humpback whale in E China's Jiangsu - Xinhua | English.news.cn
My take: ingekuwa haoa kwetu polis wangekuta manyoya tu.
Unaweza kusoma zaidi hapa.
People help stranded humpback whale in E China's Jiangsu - Xinhua | English.news.cn