Viongozi wetu wa Africa mnafuatilia yanayoendelea kule The Hague, Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita? Kuna halifu moja la kivita la huko Croatia limekunywa sumu, limekufa, kabla ya hukumu...
Mwanasheria nguli na Wakili wa Mahakama kuu nchini Uingereza Giovanni Di Stefano ameweka kusudio la kufungua shauri kwenye mahakama ya haki ya umoja wa Ulaya (The Court of Justice of the European...
Moja ya habari ambayo haivumiliki endapo utaisikia masikioni hivi sasa ni uwepo wa Biashara ya utumwa ambayo inatukumbusha machungu ambayo tulishaanza kuyasahau kutokana na kuteswa kwa mababu...
Zaidi ya raia 100 kutoka Ghana walikuwa wanazuiliwa nchini Libya, wamerudi makwao baada ya Serikali kupata ndege ya kuwapeleka nyumbani.
Walienda Libya wakiwa na matumaini ya kufika Ulaya lakini...
Harare, Zimbabwe. Mchungaji mwanaharakati Evan Mawarire aliyeshtakiwa mahakamani kwa jaribio la kutaka kumpindua Robert Mugabe wakati wa mgomo uliodhoofisha usafiri katika miji yote mikubwa...
Libya imekubaliana na viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya na wa Afrika kuruhusu wahamiaji wanaokabiliwa na mateso katika kambi za wakimbizi nchini Libya kuondolewa nchini humo na kurejeshwa nchini...
Madaktari nchini India wameondoa sarfu 263 na misumari 28 tumboni zenye uzito wa takribani kilo 6, mtu huyo awali alikuwa akilalamika kuwa na maumivu ya tumbo
Madaktari baadaya kuongea na familia...
Kuna kisa kimoja kizuri kuna watu walipanda boti na boti hio ilikuwa na ghorofa juu na chini na boti hio ilijaza watu wengi,sasa wale watu wa chini wakawa wanawaomba wale watu wa juu maji ila wale...
James Jr (kushoto)na Ted Dresnok wakiwa wamevaa sare za jesh
James Dresnok mwanejeshi wa mwisho wa Marekani anafahamika kuinshi nchini Korea Kaskanizi, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 74...
Watu 50 wameuawa katika mzozo wa kugombea mifugo katika jimbo la Jonglei, Sudan Kusini, miongoni mwao wakiwemo watoto saba. Wizi wa mifugo umekuwa ukifanyika kwa karne kadhaa Sudan Kusini...
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sissi, leo Jumatano, ametoa miezi mitatu kwa uongozi wa jeshi kuhakikisha usalama umepatikana katika rasi ya Sinai, ambapo mashambulizi yaliyotokea siku ya Ijumaa...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron akiwa Ouagadougou nchini Burkina Faso amesema wanachofanyiwa watu Libya ni uhalifu dhidi ya ubinadamu na kwamba atashirikiana na viongozi wengine kutafuta...
Kiasi ya watu wanne wameuawa baada ya kutokea shambulizi la bomu la kutegwa kwenye gari kwenye mji wa Aden, Yemen. Duru za usalama katika eneo hilo zinaeleza kuwa bomu hilo liliripuka nje ya jengo...
Ultimatum kama hii ilitolewa na Jerry Rawling na baada ya hapo kilichofuata ni kilio. Hiki ndicho tungetegemea itokee hapa TZ maana siyo rahisi kupambana na rushwa au wizi wakati kuna watu...
Leo nimeifuatilia BBC angalau siku nzima,kwa kweli nimeshangaa sana ila nilitegemea.
Kuna correspondent mmoja wa BBC yuko Harare anaitwa Ben Brown kila alipokuwa akijiunga na BBC London kutoa...
Mkutano kati ya Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuanza leo mjiini Abdijan.
Mkutano huu ni wa tano tangu kuanzishwa kwa ushirikiano kati ya Afrika na Ulaya, unaangazia zaidi...
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema wahamiaji wa Kiafrika waliokwama Libya wanapaswa kuondolewa nchini humo, akiitaja biashara haramu ya kusafirisha watu kwa njia zisizo halali kuwa uhalifu...
Leo tarehe 28.11.2017 katika uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi kulikua na tukio la kihistoria la kuapishwa kwa Rais wa Kenya Mh Uhuru Kenyatta na Naibu Rais Mh William Rutto, katika hafla hiyo...
Mwanamfalme wa Saudia Miteb bin Abdullah ameachiliwa huru zaidi ya wiki tatu baada ya kukamatwa kwa madai ya kuhusika na ufisadi , maafisa wanasema.
Mwanamfalme Miteb ambaye alionekana kuwa...