Mrithi wa Ufalme Saudia anunua mchoro wa Yesu uliogharimu dola milioni 450
Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman anaripotiwa kutumia wakala kununua moja kati ya michoro ghali zaidi...
Rais wa Congo DRC Joseph Kabila ana wakati mgumu na wa mashaka kufuatia matukio kadhaa yanayoendelea within his perimeters. Ukiachia matukio kadhaa ya kujaribu kumuua kama lile la February 27...
Picha na video zinatisha hadi kuweka humu.
Watu weusi tunanyanyaswa tena kwenye bara letu? Waarabu ni watu flani wa#@%^&£ sana!
Swali, je serikali yetu imetoa tamko lolote kuhusu biashara ya...
Because a group of drug mules with drugs from Addis Ababa were recently arrested at HK airport, therefore the authorities are now considering to arrange special arrival checks for passengers from...
Vurugu zimeendelea huko ukanda wa gaza na ukingo wa magharibi ambapo zaidi ya wapalestina thelathini wamejeruhiwa katika makabiliano na polisi wa Israel
Hii ni kufuatia Rais Donald Trump...
CHAIRMAN MOUSSA FAKI, Addis Ababa
Nimesikitishwa na uamuzi ambao utaongeza machafuko katika eneo hilo na kwingineko,.
ANTONIO GUTERRES, New York
Ni uamuzi wa upande mmoja ambao unahatarisha...
Upinzani nchini Syria watangaza kumuua ndege aliyetumiwa na Israel kufanya shughuli za kijasusi nchini Syria
Upinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa...
Benki Kuu ya Zimbabwe imeagiza akaunti za benki za mawaziri wawili ambo walikuwa ni kati ya washirika wakubwa wa Rais aliyeondolewa madarakani , Robert Mugabe zifungwe
Wawili hao walikuwa watu...
UN yatuma mjumbe North Korea, Dec 5-8, kufuatia offer iliyotolewa na North Korea juu ya mazungumzo. Hii ni mara ya kwanza kwa maafisa wa UN kuingia NK toka October, 2011.
Ikumbukwe kuwa NK...
Polisi nchini Italia wamemkamata mwanamume ambaye anadaiwa kutumia sumu ya kuua panya kuwaua watu wa familia yake kwa sababu hawakuwa "wasafi".
Mattia Del Zotto, 27, analaumiwa kwa kuweka sumu...
Korea Kaskazini wamefanya jaribio la kombora la masafa marefu linaoweza kuruka bara ,moja hadi jingine, kombora hilo limetua kwenye sehemu ya bahari inayomilikiwa na Japan
Maafisa wa Marekani...
Jaji ataka Rais wa zamani wa nchi hiyo, Cristina Fernandez de Kirchner akamatwe kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na kutumia siasa kujikinga.
Pia, Rais huyo ambaye ana kinga ya...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema, nchi hiyo inakuza uwepo wake na kuzidisha uhusiano na Afrika kwa kuwa ina imani na hali ya baadaye...
Rais Vladimir Putin ametangaza kugombea tena urais kwa muhula wa nne kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi Machi mwaka 2018 ambao anatarajiwa kushinda bila upinzani
Akishinda urais huo ataongoza...
Mwigizaji Clifton James, aliyeigiza kama Liwali JW Pepper kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.
Alifariki karibu na mji wake aliokulia wa Gladstone, Oregon, siku...
North korean official says pyongyang is not interested in diplomacy with the US until it develops a long range intercontinental ballistic missile capable of reaching "all the way to the east coast...
The Guy Found Hitler’s Secret French Bunker
Urban explorer and photographer Marc Askat braved the hunting season to walk through the thick wooded countryside in northern France. He was searching...
December 01, 2017
Accra, Ghana.
Akufo-Addo 'schools' France President Macron
Katika hotuba ya kumkaribisha Mh. Rais wa Ufaransa Bw. Emmanuel Macron, Rais wa Ghana Mh. Bw. Akufo-Addo alitoa kauli...