Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,072
Picha na video zinatisha hadi kuweka humu.
Watu weusi tunanyanyaswa tena kwenye bara letu? Waarabu ni watu flani wa#@%^&£ sana!
Swali, je serikali yetu imetoa tamko lolote kuhusu biashara ya utumwa na unyama unaoendelea kule Libya? Mbali na kutoa tamko, kuna mambo yepi ambayo serikali imejiandaa kufanya ili kuonyesha solidarity na waafrika wenzetu wanaoteswa huko Libya?