International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Raia wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wao George Opong Weah,ambapo wamekesha katika uwanja wa mpira wa taifa,mahala ambapo leo historia ya mwanasoka huyo...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wao George Opong Weah,ambapo wamekesha katika uwanja wa mpira wa taifa,mahala ambapo leo historia ya mwanasoka huyo inajiandika...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji wanaomtaka rais Joseph Kabila aondoke madarakani. Watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mchezaji bora wa zamani wa dunia, George Weah leo Jumatatu Janauri 22, 2018 ataapishwa kuwa Rais wa 25 wa Liberia akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Ellen Johnson Sirleaf ambaye ameongoza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mashirika ya kibinadamu ya umoja wa mataifa yanahitaji msaada wa dola bilioni 1,68 kwa ajili ya misaada ya kiutu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambako watu zaidi ya milioni 13 wanahitaji...
1 Reactions
2 Replies
792 Views
Waziri mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern amefichua kwamba yeye ni mjamzito. Bi Ardern alisema kwamba yeye na mpenzi wake Clarker Gayford walikuwa wakitarajia mwana wao mwezi Juni ambapo baadaye...
3 Reactions
73 Replies
8K Views
Report: Israel attacked Hezbollah weapons warehouse at military airport near Damascus Syrian opposition sources claimed on Wednesday that Israel struck a weapons warehouse near Damascus at a...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mashirika ya kibinadamu ya umoja wa mataifa yanahitaji msaada wa dola bilioni 1,68 kwa ajili ya misaada ya kiutu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambako watu zaidi ya milioni 13 wanahitaji...
1 Reactions
6 Replies
916 Views
Takribani ya Wakurdi 25 - 35 milioni wanaishi katika milima ianayopatikana katika mipaka ya nchi tano :- Uturuki, Siria, Iraki, Irani na Armenia. Wakurdi ni jamii ya nne kwa ukubwa katika eneo la...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Most of the propaganda launched by the ex President of Tanzania, Julius Kambarage Nyerere against the ex President of Uganda, Field Marshal Idd Amin Dada, were baseless. However Nyerere,s tactics...
0 Reactions
92 Replies
15K Views
Islamic State haipo kuanzisha Islamic State bali Kurdish State, The Kurdstan. Mtu atajiuliza iweje majeshi ya serikali huko Mashariki ya kati yashindwe kupambana na ‘’ IS” lakini wanamgambo...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Mzuqa wajamvi! Hii Ni desturi ya kiranja wa dunia rais wa marekan kuhutubia tarehe 20 january ya kila mwaka ispokua anapoaapishwa. Inajulikana Kama state of the union. Kunakuwa Na mbwembwe Sana...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari kutoka Kabul zinaeleza kuwa Hoteli ya Intercontinental Mjini Kabul yavamiwa na magaidi. Yamkini watu 20 wanahofiwa kuwawa baada ya hoteli maarufu ya Intercontinental mjini Kabul...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rubani aliyedaiwa amelewa alilazimishwa kutoka ndege katika uwanja wa Gatwick baada ya abiria kuwa na hofu. Ndege hiyo ya Uingereza iliokuwa ikieekea Mauritius siku ya Alahamisi ilicheleweshwa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
His Excellence, President for Life, Field Marshal Al Hadji, Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conquer of the British Empire in...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Video inapatikana katika page ya Facebook ya Julius Mtatiro na inamuonyesha Paul Kagame akihutubia huku akisononeshwa na Wale wanaotaka katiba ibadilishwe aongoze ili kumuongezea miaka ya kukaa...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa...
15 Reactions
506 Replies
39K Views
Wawekezaji wa kampuni ya ku assemble magari aina au jamii ya Volkswagen nchini Rwanda kupitia taarifa ya habari (Rwanda TV 23. 00pm) wataanza kuuza magari hayo kabla ya mwisho wa mwaka 2018. hii...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Huyu CDF naye anachelewesha mambo. Siku 45 nyingi sana. Ningekuwa mimi nampa sekunde 45 tu!!
4 Reactions
60 Replies
8K Views
Jeneral John Tshibangu ameasi/amejiuzulu jeshi na kumpa Rais Joseph Kabila siku 45 awe ameachia madaraka na kuomba wananchi msamaha kwa kushindwa kuwaongoza Hata hivyo bado haijafamika Jenerali...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…