International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Likiwa bado sakata la uchunguzi wa rais wa Us likiendelea kupamba moto, hatimaye wakili binafsi na wa muda mrefu kabisa wa Donald trump Michael Cohen amejiwa katika ofisi zake na F.B.I ambapo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
maeneo ya kivu, goma etc Mapadri wanashambuliwa kwa mapanga na kuuwawa na watu wasiojulikana. wengine wanatekwa na watu kudai fidia ili waachiwe. Mwingine kapingwa risasi.Gunmen kill parish priest...
1 Reactions
7 Replies
928 Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi " kutumia nguvu " kujibu madai ya shambulio la kemikali nchini Syria, huku mataifa ya magharibi yakitafakari hatua watakayoichukua. "Tuna njia nyingi za...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja Guinea ambaye aliwauzia dawa za kienyeji kwa wagumba, akiwaambia kuwa wangepata mimba, amefungiwa miaka mitano. N'na Fanta Camara alitengeneza dawa ya kienyeji ambayo ilisababisha...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Maafisa wa Korea Kaskazini wasema Kim Jong Un yutayari kujadiliana na Maafisa wa Marekani kuhusu kuachana na mpango wa nyuklia ikiwa ni maandalizi ya kukutana na Rais Trump > Korea Kaskazini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali inayotokea Sudan ya weusi inasikitisha sana. Baada ya kujitenga na Sudan ya weupe hali yao ni kuchinjana tu kila siku. Baada ya wazungu kuwadanganya wajitenge sasa hivi wazungu wameikumbatia...
0 Reactions
2 Replies
820 Views
The time has come for me to graduate (high honors)!!!!! I am so excited cause I never saw myself here...I am 1 step closer to Law School!!!! Whoooop!!! It may be small to everyone else, but ya'll...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau. Nimestaajabu kusikia mji mkuu wa Rwanda Kigali ni msafi kuliko mji mkuu wa Ujerumani Berlin pia ni salama zaidi kuliko mji mkuu wa Austria Vienna. Hili limedhibitishwa na jopo la...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
A suspected chemical attack in Douma, the last rebel-held stronghold near Syria's capital, Damascus, has killed at least 70 people and affected hundreds, rescue workers have told Al Jazeera. The...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
-Anasema kama watavunja hiyo deal, watapata matokeo yake ndani ya wiki moja tu. -Tumejiandaa kuliko wanavyofikiri, watapata matokeo chini ya wiki. -Trump ametishia kuvunja makubaliano na kuongeza...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
UNAMFAHAMU HAMZA BENDELLADJ? Kabla sijakufahamisha kuhusu huyu Kijana Naomba kuulizia swali, kumuibia mwizi ni kosa? Na je kuiba na kugawa kwa wahitaji ni kosa au laa... Majibu ya maswali hayo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Msanii wa Nigeria Zainab Ali-Nielsen maarufu kama Alizee na mtoto wake wa miaka minne wameuawa na mume wa msanii huyo ambaye ni raia wa Denmark, Peter Nielesen katika nyumba yao iliyoko huko...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya jinai Fatou Bensouda ametaka machafuko yanayofanyika katika Ukanda wa Gaza kusitishwa na ameonya kuwa mahakama hiyo huenda ikawakabili wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Somalia Mohamed Sheikh Osman Jawari amejiuzulu muda mfupi kabla ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, amesema mbunge mmoja na hivyo kuhitimisha mvutano wa kisiasa wa wiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu kadha wamefariki katika uwanja mmoja wa ndege wa kijeshi nchini Syria baada ya shambulio la kutumia makombora, vyombo vya habari vya serikali ya Syria vinasema. Shirika la serikali la SANA...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Padri mmoja wa Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekutwa ameuawa baada ya kupigwa risasi masaa machache tu baada ya kuongoza misa katika mkoa wa Kivu ya Kaskazini. Mkuu wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
UINGEREZA: Meli ya abiria ya Uingereza iliyozamishwa kwa kupigwa bomu na ndege za Japan wakati wa vita ya pili ya dunia, imeinuliwa kutoka baharini na kundi la wapiga mbizi wa Jeshi la Wanamaji wa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
URUSI: Mamlaka ya Mawasiliano Roskomnadzor yafungua kesi ikitarajia kuruhusiwa kuufungia na kuupiga marufuku mtandao wa Telegram nchini humo Serikali ya Rais Putin tangu mwaka 2017 haina furaha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanzilishi mwenza wa Kampuni ya Apple, Steve Wozniak asema amejiondoa kwenye mtandao wa Facebook kutokana na mtandao huo kutojali taarifa nyeti za wateja > Ameongeza kuwa Wanachama wa Facebook...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
-Pia shuleni hapo hakuna ulazima wa kuwatambua watoto kwa jinsia zao Ke, Au Me bali wote wanatambulika kwa jina na "Pupils". -Pia wanafikilia kuanzisha uniform zisizofungamana na jinsia yoyote...
2 Reactions
85 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…