International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Russia military releases full report for US-led missile attack on Syria _________ Al Masdar Russian military releases full report for US-led missile attack on Syria, what air defense systems...
8 Reactions
16 Replies
5K Views
Siha ya Bunge la Nigeria imepatikana chini ya Barabara ya juu (flyover) Jijini Abuja baada ya kuonwa na mwananchi aliyekuwa akipita maeneo hayo. Watu wenye silaha walivamia Bunge la Nigeria na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Zaidi ya manesi 15,000 wamefukuzwa kazi baada ya kukataa kusimamisha mgomo wao wa kutaka kulipwa posho na kurekebishwa kwa mishahara yao. Katika tamko lililosomwa na Makamu wa Rais, Constantino...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani labda mimi ntakua sijaelewa vizuri wajuzi wa lugha ya malikia waje hapaa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ZIMBABWE: Serikali imewafukuza kazi Wauguzi 16,000 waliokuwa kwenye mgomo ikiwa ni mkakati wa Serikali kukomesha migomo ya wafanyakazi > Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga amesema kuwa mgomo...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Nina uhakika SAA hii Trump atakuwa anajutia mkwara wake wa kuitishia urusi kuwa ijiandae maana ataishambulia Syria kwa makombora mazuri, mapya na janja!! (nice, new and smart)). Saa hii...
12 Reactions
162 Replies
18K Views
Mama mzazi wa Rais Bush ambaye afya yake imezidi kuzorota amesema kuwa kuanzia sasa amesitisha matumizi ya dawa na tiba na 'yuko tayari kwa lolote'. Bibi huyo kwa sasa ana umri wa miaka 92...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Watu 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini Rwanda, ndani ya kipindi cha takriban miezi miwili. Wizara inayohusika na kupambana na majanga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BBC iliripoti taarifa za ndege ya kirusi kulipuliwa na washirika wa NATO ikiwa na marubani wawili. Taarifa hii ikitangazwa na BBC ingawa imeshafutwa hadi youtubyoutube.Je kuficha ukweli ama kuna...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
China yanyonga hadharani wanasiasa 26 ambao ni wabadhilifu wa Mali za umma (Mafisadi). Mafisadi hao walihukumiwa kifo cha kupigwa risasi uwanjani hadharani watu wakishuhudia baada ya kubainika...
6 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari wanaJF, Nimekuwa nikitafakari kwa muda kwa hii vita inayoendelea nchini Syria kwa muda mrefu sasa,ikihusisha pande kadhaa ikiwemo serikali ya Assad,Waasi,Russia pamoja Marekani...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Russia is defending Syria’s sovereignty and is trying to work for an end to the bitter civil war at the request of the government of Syria that is officially recognized by the United Nations...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Filamu mashuhuri zaidi duniani kwa sasa, Black Panther, inaandika historia nyingine baada ya kupewa kibali cha kuwa filamu ya kwanza kuoneshwa hadharani nchini Saudia Arabia baada ya zuio la...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Lengo kuu (mission) la marekani kupeleka askari Syria ilikuwa ni kumwomdoa madarakani Assad ili waweke kibaraka wao!! Lakini wakadai eti wanaenda kuwasambaratisha IS! Kabla Urusi hajapeleka askari...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imewafukuza zaidi ya mahakimu 250 ambao waliajiriwa kwa kutumia vyeti feki na wengine waliotuhumiwa kupokea hongo. Kumeundwa tume maalum itakayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Last night, the Syrian Air Defense Forces (SADF) repelled another missile attack allegedly carried out by the Israeli military. There were two areas of the missile interceptions: 1.Near Shayrat...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Maafisa wa Korea Kusini wameushutumu utawala wa Korea Kaskazini wakisema umefufua vita baridi. Wanatoa mfano wa hivi majuzi ambapo, kulikuwa na matangazo kutoka redio Pyongyang ya Korea...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
US & ALLIES LAUNCH MILITARY STRIKES ON MULTIPLE SYRIAN REGIME TARGETS The United States, Britain and France launched strikes against the Syrian regime in response to an alleged chemical weapons...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mungu wa majeshi anaendelea kuupigania utawala wake. Pamoja na mbinu nyingi na CHAFU sana zinazoendelea kufanywa na mataifa ya western wakiongozwa na Marekani na Uingereza dhidi ya Urusi naamini...
15 Reactions
117 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…