Katika parade bora ya majeshi Afrika nchi ya Rwanda inaongoza kwa ubora wa parade za kijeshi parade hiyo ni ya mwaka 2017 ikiwemo mbwembwe na vionjo,ushikaji wa vitala na silaha,mbwembwe za vikosi...
120 Years Ago (1898): Israel's 1st female Prime Minister, Golda Meir, was born.
"Happy Birthday Golda Meir".
"We Jews have a secret weapon in our struggle with the Arabs; we have no place to...
THE KORTEZH CAR PROJECT
Rais wa Urusi anategemea kupata gari jipya ambalo litakuwa made-in-russia baada ya yeye mwenyewe kusema kwamba hapendi kutumia magari yaliyotengenezwa nchi zingine...
Kimbunga kikubwa kilicholikumba eneo la Kaskazini mwa nchi ya India kimesababisha vifo vya watu zaidi ya 100 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 140.
Upepo wenye kasi kilomita 130 kwa saa umeyakumba...
KAMPALA-The South Sudan army boss, Gen James Ajongo Mawut has died. He died on Friday morning in Egypt where he had been taken for treatment.
President Salva Kiir confirmed the death of his army...
Habari za Ulimwengu | DW
Wabunge nchini Urusi wamefahamisha leo kwamba wameandaa muswaada wa kujibu vikwazo vipya vya Marekani ambao unapendekeza kupigwa marufuku bidhaa pamoja na huduma...
Wazee kumekucha huko Saudia arabia baada ya waasi wa houth kurusha maroketi ambayo yametua katika mji mkuu riyadh na taarifa zinasema kwamba madhara makubwa sana yametokea.
Sasa hii ni vita...
Gabon's government resigned on Tuesday, the day after the constitutional court dissolved the national parliament and also called for the country's leadership to step down over election delays...
Kwangu mimi ndivyo ninavyoiona USA ni kama vile unamuona demu kavaa suruali ya kubana na anavutia na kuanza kumsifia kwamba anafaa kuwa naye bila ya kujua undani wake.
Ukiangalia sana watu hawako...
Sijajua nini wanataka hawa jamaa nchini Syria. Baada ya kuipiga ISIS wanapiga kambi za jeshi la Syria.
====
Powerful explosions have been heard in the countryside of Hama and Aleppo provinces...
King Gwanggaeto the Great Conqueror Mfalme Aliyeirudishia Hadhi Goguryeo Iliyopotea Baada ya Kifo cha Mwanzilishi wa Goguryeo King Dongmyeong (Jumong ).
Goguryeo dynasty ilianzishwa na Prince...
Utawala wa serikali ya Irani umekuwa ni moja ya tawala ambayo inaandamwa kila kukicha na Marekani na mshirika wake wa karibu kabisa pale mashariki ya kati(Israeli). Kipindi cha utawala wa Barack...
Maandamano makubwa yanaendelea nchini Malawi. Wananchi wanataka Rais Peter Mutharika (Mdogo wa Rais wa zamani Marehemu Bingu wa Mutharika) ajiuzulu baada ya serikali yake kuhusika na upotevu wa...
Takribani watu 24 wamefariki dunia baada ya kutokea kwa milipuko mawili ya mabomu wakati wakiwa Msikitini
> Watu hao walikuwa wakiendelea na ibada katika Misikiti mmoja uliopo Kaskazini mwa Mji...
GABON: Mahakama ya Katiba yamuamuru Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Emmanuel Issoze-Ngondet kuondoka madarakani
> Aidha Mahakama pia imetoa amri ya kuvunjwa kwa Bunge dogo la nchi hiyo kutokana na...
Wanahabari waliouwawa mji wa Kabul leo na bomu:
1. Shah Marai -AFP photo's
2. Mahram Durrani-RadioAzadi
3. Yar Mohammad Tokhi -ToloNews
4. Salim Talash -Mashal TV
5. َAli Salimi -Mashal...
Baada ya Urusi kusema kwamba inafikiria kuipa Syria mfumo wa kujikinga na makombora wa S-300, Waziri wa Ulinzi wa Israel Avgdor Lieberman ameonya kwamba Israel itauubomoa mfumo wowote ule...