Bolton kasema kuwa NK inapaswa iachane na silaha za nyuklia ktk utaratibu kama ilivyokuwa kwa Libya. Pia iachane na silaha za kibiologia na kemikali na hivyo kupatiwa uhakika wa usalama wake...
The Double Standard Of America’s China Trade Policy
by Dani Rodrik on 16 May 2018 @rodrikdani
A high-profile United States trade delegation appears to have returned empty-handed from its...
Baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Malaysia na kuondolewa madarakani kwa chama tawala kilichotawala nchi hiyo kwa miaka 60 mpinzani mkuu na mtetezi wa demokrasia nchini humo Anwar Ibrahim...
Kwa mara ya kwanza leo katika Sherehe za Kuapishwa Raisi wa Urusi Vladmir Putin Ametumia gari mpya kabisa na Ya Kisasa iliyotengenezwa Nchini Urusi.
Gari hiyo aina ya Kortezh imeonekana...
SILAHA ZA KOREA KAS ZIPELEKWE U.S
John Bolton Ambaye ni Mshauri wa Raisi Trump ameiyambia Korea ya Kaskazini kama inataka unafuu wa Vikwazo lazima ikubali kuzisafirisha SILAHA zake zote kwenda...
kwa mujibu wa aljazeera
US opens embassy in Jerusalem: Which countries attended?
Here is a breakdown of the countries that attended the ceremony:
A: Albania, Angola, Austria
C: Cameroon...
Raia 2 wa Palestina wameuawa na vyombo vya ulinzi vya Israel katika maandamano ya kupinga Marekani kufungua ubalozi wake katika mji wa Jerusalem. Ubalozi huo unafunguliwa rasmi leo, hafla hiyo...
Israeli snipers have killed 41 Palestinians and wounded hundreds more as 35,000 protesters rallied against the US Embassy opening in Jerusalem overseen by Donald Trump's Middle East envoy Jared...
Jeshi la Syria limetoa jibu kali kwa chokochoko za utawala wa Israel kwa kushambulia kwa makombora maeneo ya utawala huo yaliyo katika miinuko ya Golan nchini Syria.
Vyombo vya habari ndani ya...
Washington’s renewed sanctions on Tehran supports China’s newly established oil futures, analysts say. The sanctions can make the yuan a more preferable currency than the dollar on the oil market...
Kwema wadau?
Siku moja (juzi juzi tu) nilisikia habari furani kwenye redio, ila sikuwa na muda mzuri wa kufatilia, Eti, "Korea kusini wamebadilisha muda wao ili uendane na muda wa Korea...
Kilimo cha zao la bangi kimehalalishwa kisheria katika nchi hiyo kwa ajili ya kutumika kama dawa na kwenye mambo mengine ya kisayansi
Kwa mujibu wa Serikali kupitia taarifa iliyotolewa na...
Familia nyingine yashambulia makao makuu ya Polisi Indonesia
Familia moja ya watu watano akiwemo mtoto imefanya mashambulizi ya kujitoa muhanga yaliyolenga makao makuu ya polisi ya mji wa pili...
Bunge la Uganda limepinga mpango wa Umoja wa mataifa wa kuondowa kituo chake cha kikanda Entebbe kukipeleka mjini Nairobi Kenya.
Spika wa bunge Bi Rebecca Kadaga ameteuwa kamati ya bunge ya...
Marekani kufungua ubalozi mpya leo mjini jerusalem
Ofis ya ubalozi ambao itahudumu kama ubalozi wa Marekani mjini Jerusalem
Marekani itafunguq ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo...