Bolton :Silaha za North Korea zipelekwe Marekani

Bolton :Silaha za North Korea zipelekwe Marekani

Gwanggaeto the Great

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
883
Reaction score
1,911
SILAHA ZA KOREA KAS ZIPELEKWE U.S

John Bolton Ambaye ni Mshauri wa Raisi Trump ameiyambia Korea ya Kaskazini kama inataka unafuu wa Vikwazo lazima ikubali kuzisafirisha SILAHA zake zote kwenda Marekani ilizipelekwe Kwenye Maabala ya Taifa huko Tennessee .alisema Kuwa Kim Jong Un akifanya hivyo atathibitisha ahadi yake Kuhusu SILAHA za Nyuklia .Mwezi huu Korea Kaskazini itawaalika Wandishi wa Habari kutoka Mataifa Mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia Ulipuaji wa Mitambo ya Nyuklia
 
Kiduku akifanya hivi na akaharibu yale ma mitambo baasi ataeleweka
 
Kiduku akifanya hivi na akaharibu yale ma mitambo baasi ataeleweka
sio ataeleweka atakua amekwisha.

bora wananchi wangu wale nyasi ila sio kujivua hadi ngozi ya mwili wangu na kuipeleka ikawambwe ngoma nyumba ya jirani.

ngoja tusubiri tuone kama kim atakubali
 
Kim jong un alishasema kuwa tayari wamefanikiwa kutengeneza silaha za maangamizi ndo maana wakapumzika kutest nyukilia, Kim sio bwege kiasi hicho mpaka akubali kuonyesha maeneo hyo kuna mawili kama sio kutangaza ubabe wake kama alivyokuwa anafanya Kuwaita waandishi kuwaonesha michoro ya silaha au anawaweka mtegoni.
 
Dah US bana hivi hayo maghala au sijui maabara za nukes siku zikijikoroga si patageuka majivu ?
 
Kim anamsikiliza dada yake ambaye anautamani umagharibi.NK KWISHNEY.
 
Marekani watayabeba kuyahifadhi pahala salama kabisa hayo makombora vya Kiduku. They are in the right track so far.
 
Trump mpumbavu sana yaana kama mm uniambie rungu langu na upinde wangu wa kujilinda niuhifadhi kwa adui yangu!
US kushiwa sera anaongea mambo ambayo hata mtoto hatokubali
 
North K c wajinga Jamani hapo ni danganya toto kwa Us kwan wataharibu baadhi na vinu pia baadhi Mambo mengine ni Siri Mkuu kama Matokeo ya Uchaguzi yanavyotangazwa na Nec . Kwani nani kati yetu ujua mambo yao
 
Back
Top Bottom