Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo...
Mahakama nchini Afrika Kusini imekataa ombi la familia ya aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu, waliotaka kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliomtaka azikwe nchini kwake. Lungu, aliyekuwa rais wa...
Mara nyingi tumekuwa tukiweka mifano ya USA kama ndio Target, lakini kwa wakati husika inabidi tupatumie kama what not to became; na upuuzi unaofanyika sasa unaweza kupelekea ionekane kama ni the...
Huwa najiulliza sana kwanini nchi nyingi sana ambazo zina idadi kubwa sana za wakristo kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe( civil war) kwa mfano Liberia, sierra leone, Guinea Bissau, Sudani kusini...
Shirika la habari la AFP limeripoti kuwa watu 22 wameuawa kwa risasi na watu wasiojulikana katika mkoa wa Tillabéri, magharibi mwa Niger, wakati wa sherehe ya ubatizo. Mashuhuda wamesema...
Ukishangaa ya Waiba Kura yaani Upige, Usipige, itapigwa... Kuna nchi zinalazimisha ukapige! na Ajabu zaidi kuna zile zinaruhusu mtu kutuma mtu akampigie kwa kumpa Power of Attorney...
Chama Kikuu cha upinzani, Democratic Progress kimemudhinisha Rais wa zamani, Peter Mutharika kuwa Mgombea wake katika Uchaguzi wa Septemba 2025
======
Malawi's main opposition party, the...
Wananchi wa Malawi wanatarajiwa kupiga kura Septemba 16, 2025 kuchagua rais mpya, wabunge na madiwani, ikiwa ni baada ya miaka mitano tangu uchaguzi uliopita ambapo vyama 17 vitashiriki huku...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa watu 31 wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Spetmeba 2025. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros...
Wanakumbi.
Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki...
Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa...
UNRWA ikusanya zaidi ya dollar bilioni moja kila mwaka za pesa za misaada na pesa hizi zilipotea katika mifuko ya maofisa waliokuwa wamewekwa na hamas katika nafasi za shule hizo.
Pesa hizo...
ANTIFA ni muunganiko wa vikundi vy kikomonisti, vikundi vya mashoga, vikundi vya itikadi kali, etc katika itikadi moja ya kupingana na mrengwa wa kulia kwa kutumia vurugu, mauaji na uharibifu...
Takribani miaka milioni sita iliyopita, Bahari ya Mediterania ilipitia mabadiliko makubwa yaliyotikisa historia ya kijiolojia ya dunia, kuanzia muonekano hadi ubora wake wa kuitwa bahari. Shughuli...
Chanzo . BBC Swahili.
Mahakama nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili jela kwa kujaribu kutumia uchawi kumuua Rais Hakainde Hichilema.
Mzambia Leonard Phiri na...
Israel kuchukua udhibiti kamili wa kijeshi wa Gaza Netanyahu ameifanya kazi nzuri sana leo hii na atasababisha yafuatayo:
Hamas itaondolewa milele!!.
Hali ya ugaidi haitakuwapo tena.
Na kwa upande...
ANTIFA ni syndicate ya mrengwa wa kusoto inayotumia njia za machafuko na vurugu kuwakilisha itikadi yao ya kupinga sera za mrengwa wa kulia, ku-promote ukomonisti/ujamaa na kulinda haki za mashoga...
Cuba
Vietnam
Tz
Zambia
North korea
Laos
Cambodia
Mozambique
Albania
Na wengine sana tu..
Vilichezewa foul bila kujijua kuwafaiddisha wao pekee.
UKOMONISTI NI USHETANI
Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni...
Askari polisi kijana jijini Lusaka ametoweka baada ya kujilimbikizia kwa nguvu "pakiti ya kustaafu" yenye thamani ya K622,483 kutoka Zanaco, tawi la Civic, siku mbili zilizopita.
Wafanyakazi wa...