Sputnik: Kifuatacho sasa ni Golan Height.

Sputnik: Kifuatacho sasa ni Golan Height.

tofyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
2,759
Reaction score
768
Majuzi niliandi habari ya kukombolewa mji wa Daraa pamoja na viunga vyake,mpaka kwenye mipaka ya Jordan kutoka katika mikono ya waasi wa Syria na nikajiuliza what next.Leo Spunik news wametuweka wazi wpango mzima huuapo.

=====
Syria's Daraa: Why is Its Liberation So Important and What Comes Next?

MIDDLE EAST

19:01 07.07.2018(updated 19:11 07.07.2018)Get short URL

3410

The Syrian army has been conducting an offensive in Daraa province after its capital and several other cities were shelled by local militants despite an ongoing ceasefire. As a result of the offensive, several villages have been liberated from armed groups and the Syrian government has regained control over part of the Syria-Jordan border.

Why is Control of the Border so Important?

The sweeping operations that were conducted following the recent offensive by the Syrian army in the Daraa province have revealed that militants who fled the region left behind significant amounts of military equipment, weapons and ammunition. In the city of Izra alone three tanks, several armored transports, two air defense guns, 40 anti-tank missiles, rocket launchers, a number of small arms and 1,500 ammunition boxes were found.

Syrian General Nizar Ismail believes that these weapons made it into the hands of militants via the Jordanian border with Syria, with Daraa being one of the provinces that borders the kingdom. That's why the recent operation that returned Syrian government control over the Nasib border crossing with Jordan was so important.

READ MORE: Syrian Army Takes Control of Nasib Border Crossing Point With Jordan

Still, significant areas of Daraa province, as well as the Syrian border with Jordan, remain under the control of armed militants. So far, the Syrian army's advance has been facilitated by negotiations brokered by the Russian center for Syrian reconciliation — 27 towns and villages have joined the ceasefire agreement and have even switched sides to the Syrian authorities, which have already started restoring governmental bodies there.

But many other settlements remain occupied by militants and are engaged in battles against Syrian forces rather than pursuing a ceasefire. While some militants are fleeing, others are fighting to the death.

People Caught In Inter-Militant Fighting

Cutting off the flow of arms to terrorists and militants is not the only goal of the Daraa offensive. Currently, many local residents live in a dire humanitarian situation, suffering shortages of food, water and medical supplies. Although the center for Syrian reconciliation regularly participates in delivering humanitarian aid to those most in need, the presence of armed militants makes such "humanitarian sorties" rare and risky.

READ MORE: Syrian Army Reaches Jordanian Border in Daraa Province

If hardships such as destroyed infrastructure were not enough to leave citizens in Daraa stranded without critical supplies, they are also suffering from regular conflicts between competing militant groups. As supplies dwindle, fighting for them is intensifying between the militant factions, with ordinary citizens often getting caught between the competing sides and left deprived of even the last crumbs of bread.

After Daraa

Even after the province of Daraa is liberated, swathes of the country will still be under the control of various terrorist groups and militants. To the west, the province borders Quneitra, with the Israeli-occupied Golan Heights and to the east — Al-Suwayda, which borders Jordan. It is possible that if these provinces are liberated from armed militants and terrorists, the rest will be cut off from their weapons supply route.



Syria's Daraa: Why is Its Liberation So Important and What Comes Next?
 
Unless they want to risk a full scale war with Israel.Golan heights is the heart of Israel security...Keep in mind,Golan height haupo chini wa waasi,Ipo Chini ya IDF..Never compare the so called waasi wenye only AK 47 with IDF with Tanks,Figher jets,missiles n.k.
 
Mtoa uzi labda umesoma kiingereza lkn umeelewa kizigua i.e. from two different scripts.

Au naona unaandika tu ki-shabik, swala la Golan Heights hulijui, kaa kimya.
 
Majuzi niliandi habari ya kukombolewa mji wa Daraa pamoja na viunga vyake,mpaka kwenye mipaka ya Jordan kutoka katika mikono ya waasi wa Syria na nikajiuliza what next.Leo Spunik news wametuweka wazi wpango mzima huuapo.
wakae tiu chin watafakari jinsi ya kurudisha Idlib,raqqa deir al zor pamoja na vile viipocket alivyopora uturuki toka kwa wakurdi kwenda golan itakua ni suicide mission
 
Mtoa uzi labda umesoma kiingereza lkn umeelewa kizigua i.e. from two different scripts.

Au naona unaandika tu ki-shabik, swala la Golan Heights hulijui, kaa kimya.
Soma pale mwishoni we usidhani Assad anatania,,yuko FULL SCALED.
 
Fact: Golan heights will always remain under Israel control
"Game change" my friend,hautaamini macho yako...nimewahi kuona maandishi sehem Putin anamwambia Netanyahu aondoe defence system zote hapo Golan,kwasababu game change.
 
"Game change" my friend,hautaamini macho yako...nimewahi kuona maandishi sehem Putin anamwambia Netanyahu aondoe defence system zote hapo Golan,kwasababu game change.
Putin HAJAWAHI na HATAWAHI kumwambia hivyo Netanyahu eti aondoe defense system pale Golan height,maana Russia iliiomba Israel iruhusu majeshi ya Syria pekee karibu na mpaka wake.
Israel, Russia team up to keep Iran out of Syria border region | DW | 29.05.2018
Golan ipo chini ya Israel na hakuna Mtu au Taifa lolote litakuja kuichukua kwa nguvu bila ridhaa ya Israel yenyewe. Na kwa Sasa Assad sio mjinga kwenda vitani na Isreal ndo maana hata alipotaka kuingia kijeshi hapo Daraa aliomba ridhaa ya Israel kwanza
As Assad makes gains, Israel warns it will only allow regime forces near Syria border
 
Bado hawaongelei kuikomboa golan,ambayo inakaliwa na israel,bali karibu na golan height ambayo ndo iko occupied na israel kuna sehemu inaitwa quinetra ambayo iko upande wa syria japo inakaliwa na IsIS wa kikundi cha bi waleed ambao ndo wanafanya buffer zone ya israel na syria,
hawa ndo syria wanataka kuwatarget ili askari wa syria wakamate eneo walilokuwa wanalicontrol kabla ya kuanza kwa civil war.
Ishu itakuja pale israel ataposide na hao jamaa wa israel kwani hapo ndo patakuwa na direct confrotation kati ya syria na israel inayoweza kupelekea ikaspillover golan height
 
"Game change" my friend,hautaamini macho yako...nimewahi kuona maandishi sehem Putin anamwambia Netanyahu aondoe defence system zote hapo Golan,kwasababu game change.
Chief, Israel hawanaga historia ya kurudi nyuma.....huo ni mwiko kwao. Soma kuhusu six days war na angalia issue ya Gaza strip hata mataifa yapige kelele vipi. Nyingine hizo ni propaganda za Warusi tu. Israeli sio wa kuambiwa hivyo na Putin
 
"Game change" my friend,hautaamini macho yako...nimewahi kuona maandishi sehem Putin anamwambia Netanyahu aondoe defence system zote hapo Golan,kwasababu game change.
Do you think Putin ana nguvu ya kutoa Ultimatum kwa myahudi?..Golan height is heart of israel defense against Syria.Na Israel ni pivot ya Ulinzi wa Marekani middle East,Mess with Israel you mess with U.S.Putin is not crazy enough to risk the war with U.S kisa Golan height ambayo siyo threat kwa Russia.Hivi vitu havihitaji mihemko ya Media.
 
"Game change" my friend,hautaamini macho yako...nimewahi kuona maandishi sehem Putin anamwambia Netanyahu aondoe defence system zote hapo Golan,kwasababu game change.
Putin hana uwezo wa kuwaambia israel waondoe chochote. Russia hawana nguvu au ushawishi mkubwa nje ya syria, israel haiwezi kuondoa defence zao Golan kisa putin amewaambia. Na Russia/syria hawana shida na golan wao wanataka kukomboa maeneo ya golan ambayo yalikua yanashikiliwa na syria kabla ya vita
 
Kitu kinachofanya Russia asiwe ana msimamo mkali kuhusu israel ni interest za kisiasa,
kuna warusi zaidi ya milioni moja israel,na kirusi ni lugha ya tatu kwa kuongewa israel,baada ya kiebrania,kiarabu inafuata kirusi,
panapokuwa na uchaguzi mkuu wa Russia,poling statation huwa zinafungulia allover israel wakati warusi wakipiga kura kumchagua rais wa Russia,
hata hivyo Russia wanatumia unorthox way ya kucounter israel,
hasa mageneral wa kirusi wengi wanataka msimamo mkali dhidi ya israel inapotishia maslahi ya Russia,
na hii ndo sababu Netanyau kila mara lazima aende Russia kumlainisha Putin,na hivi karibuni yaani jumatano Netanyau atakuwa Russia tena kujaribu kumbembeleza putin aondoe aircover kwa mashambulizi ya syria dhidi ya waaasi huko Daraa na quienetra,
wakati huohuo kuanzia tarehe 12 july patakuwa na mazoezi ya kijeshi ya Russia pwani ya syria na watafunga anga maeneo ya mediterania mpaka tarehe 18 july baada ya mazungumzo ya Putin na Trump kuisha pale helsink.

Moja ya ajenda ya huo mkutano ni Iran,kwani Trump anataka kuishambulia iran iwapo haitaondoa mgambo wake syria,na iran weshasema wao syria wamealikwa na serikali ya syria na hawawezi kuondoka mpaka Assad mwenyewe aliewakaribisha awambie kuondoka,
wakati huohuo israel,imedai wao hawana ubaya na syria na hawawezi kuingilia mambo ya ndani ya syria ila wameweka mstari,redline ambazo majeshi ya syria yakivuka watashambulia,
kwa maana nyingine,israel imestep back kutoka katika msimamo wa kutotaka hezbollah ama iran militias waondoke syria na wasikanyage kabisa maeneo ya golan ya syria,
kwani iran ilipuuza na waliendelea kujongea maeneo ya Quinetra
 
wakae tiu chin watafakari jinsi ya kurudisha Idlib,raqqa deir al zor pamoja na vile viipocket alivyopora uturuki toka kwa wakurdi kwenda golan itakua ni suicide mission
Raqqa kule wapo wamarekani na Wakurdi,wakitaka kuikomboa Raqqa they must Kill the U.S soldiers,Thats Suicide mission.Waturuki na chuki yao yote kwa wakurdi wameshindwa kuingia Raqqa,Kati ya vita mbaya pale ni vita ya kuikomboa Raqqa.Wakurdi wamekuwa trained na kupewa silaha nzito na wamarekani.
 
Mtoa uzi labda umesoma kiingereza lkn umeelewa kizigua i.e. from two different scripts.

Au naona unaandika tu ki-shabik, swala la Golan Heights hulijui, kaa kimya.
Lete fact mkuu sio kebehi, tuipe Haki yake JF sio FB humu....
 
Raqqa kule wapo wamarekani na Wakurdi,wakitaka kuikomboa Raqqa they must Kill the U.S soldiers,Thats Suicide mission.Waturuki na chuki yao yote kwa wakurdi wameshindwa kuingia Raqqa,Kati ya vita mbaya pale ni vita ya kuikomboa Raqqa.Wakurdi wamekuwa trained na kupewa silaha nzito na wamarekani.
Waturuki walitaka kuingia membji,baada ya kuiteka Afrin,kilichowazuia Kyle kuna base za wamarekani kwa hiyo wakaepuka lakini kwa makubaliano na wamarekani kuwa wakurud waondoke mji huko,hayo makubaliano yako in progress,
Mkurdi hawezi kusimama dhidi ya mturuki,kama ulifuatilia Afrin utakubali,uturuki iko very advanced kijeshi,hata kwa rank,uturuki iko mbele ya Israel kijeshi kwa mjibu wa globofire.
Ragah iko chini ya SDF ambao ni muungano wa wakurdi na vikundi vya kiarabu,ndo wanaunda SDF wakisaidiwa na marekani,lakini ndani ya Raggah kuna local militias ambao wanapinga uwepo wa wakurdi katika Raggah ,hawa ni pro Assad na kuna harakati za kuanzisha kampeni za kuwatoa wakurdi nawamarekan ambazo ziko sponsored chini kwa chini na iran
 
Back
Top Bottom